Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wow!, kumbe kushinda raha!. Leo nitalala kwa raha. Ukipenda timu ambayo haishindishindi unakosa hata ujasiri wa kucomment kabla. Tumeuanza msimu vizuri, Bravo Spurs!
 
Hao watakuja kwenye jukwaa hili pindi Liverpool akiifunga Manchester United.

Haya ngwe ya pili hiyo.

we eclipse, acha hizo hili jamvi ni letu, ila leo tumefulia aisee

nimeangalia benchi letu, kama la ipswich town
 
na kudanganya kote kule kwa gerrard injury hili asicheze mechi ya kirafiki na holland bado tu ngoma yenu ngumu.endeleeni kumpiga bench benayoun hivyo hivyo.
 
huyu voronin mngewauza hata burnley akawasaidie kule manake hamumuitaji

Kwanza kabisa nakupongeza bwana Mr. Bean aka AW; pili naomba niseme ukweli kwamba hata hata ka whisky hakaendi vyema

thirdly, its a good ome for us to lose game one!!! just wait and see, today we had three patients from casualty [Carra, Skertel, Gerrard] and one teenager looking for some girls [Ayala]

Stiill strong though
 
babel over benayoun ndio imewaangusha mkuu sema kocha lenu linajifanya linajua sana.
 
Mkamia maji. waliingia na mentali ya 4 x 4 x 3poits. Rafa akakune kichwa sasa

Kaka haikuanza game one, remember manure walipoteza game one and Arses won theirs... Just one of 38 bwana stede

The party has just started
 
Watani poleni, maana dah mlinitibua sana wakati tunacheza na B-ham kuna mijitu ilikuwa inazungumza sana uchafu. Milioni nane ya Bassong imelipa leo.

Yani ni bora tungemnunua BAssong maana naona tuna wodi ya wagonjwa pale kwetu kuanzia Agger, Skertel hadi Carra

YNWA
 
ni mapema mno wakuu na pia sidhani spurs ni wakuwadharau pia timu yao nzuri na itasumbua vigogo wengi sana .
 
Yani ni bora tungemnunua BAssong maana naona tuna wodi ya wagonjwa pale kwetu kuanzia Agger, Skertel hadi Carra

YNWA
si ulimnunua johnson mkuu.mnamwaga hela sana.alafu nyie wavumilivu kweli yani mmelipa hela zote zile kwa aquilani wakati ana injury ya miezi miwili.
 
babel over benayoun ndio imewaangusha mkuu sema kocha lenu linajifanya linajua sana.

Muzee, hiyo ni kweli but the problem ni kwamba Babbel plays very well in pre-seasons; i think his time is up for Liverpool... hasnt played good really
 
si ulimnunua johnson mkuu.mnamwaga hela sana.alafu nyie wavumilivu kweli yani mmelipa hela zote zile kwa aquilani wakati ana injury ya miezi miwili.

true na ndio maana hatujammisi Arbeloa, its all about injuries and fitness no complaints except nursing some patients in the ward with Aquillani on room one of the ward!!! lets see after five games

Ila ndio bikra ishatoka aise
 
wakati nipo njiani baada ya game ya Liver kuisha nilikuwa nakukumbuka sana Mkuu MTM maana najua leo lazima umejitetea sana hahaha..anyway its just a game
 
Thanks Man, yaani hata ka-whisky hakakuwa katamu... anyway Usain Bolt made my day with a 9.58 world record!!!

Ukisikia baba wa taifa hana kauli basi ndiyemimi leo
 
hapa kwa Usain Bolt tupo pamoja the guy nailed it 9.58 yeah...
 
Back
Top Bottom