Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dogo ni kiungo mzuri ila naona tatizo lake kubwa ni nguvu na mara nyingi amekuwa majeruhi, kuziba pengo la ALONSO kwa sasa kazi anayo
Hao Chelsea kuondoka kwa Hiddink ni tatizo kwani wachezaji tayari walishaanza kuzoea mchezo wake
Nashukuru Mungu wote tumejeruhiwa so wote kibarua tunacho
 
Aquilani atakuwa benchi kwa muda wa wiki 4
 
...dah, jamaa umewakomalia majeruhi wa wenzako...VIDIC naye atakuwa nje kwa muda gani? 😀
 
Vidic, Van der Sar, Neville wote majeruhi.

Kimbembe huko Anfield: Skertel, Agger, Carragher, Torres, Aquillani, Riera all limping just before the season starts!!!

Mwaka huu naona kama unataka kuanza vibaya!!!
 
...dah, jamaa umewakomalia majeruhi wa wenzako...VIDIC naye atakuwa nje kwa muda gani? 😀
Kumkosa VIDIC ni big loss but jamaa sio injury prone kama Hargreves,Rosisky & Aquilan
 
...MTM upo? Quemu umeadimika bro! mukulu FMES je? ...EPL ndio ishaanza hii,...'hamadi' kibindoni jana -washika bunduki- tushawekeza!

Belo, umemsahau Rio hapo kwenye listi ya majeruhi sugu!...anyway, Manure mna thead yenu, hapa pana wenyewe!
 
Bambie hao ......hasa Belo....anachongaga sana kule kny thread yetu utadhani hana thread yake...ha!ha!ha!
icon10.gif
 
Mosquito!!!

Ya jana nimeona.... you had a good game "indeed", ingawaje sina hakika kama it was all about Arses, i though Everton hawakuwa tayari kabisa na premier
 
...haya sasa! 😀

Eqlypz yeye anamlaumu Lescott, wewe unasema Everton hawakuwa tayari,... hatuna bahati sie!!!

Haya mkuu, kila la kheri kwenye game yenu ngumu ya leo. Spurs mahasimu wetu wa jadi, wafungeni tu.
 
Bambie hao ......hasa Belo....anachongaga sana kule kny thread yetu utadhani hana thread yake...ha!ha!ha!
icon10.gif

Kuna kauli [ashakum si matusi] inasema; "maskini akipata, ****** hulia mbwata"
 
tuangalie tuone itakuwaje maaana naona hawa totenham kama wametumwa...hahaha game ndio kwanza mbichi

Duu ebwana kuna collision ya hatari Carragher na Skrtel hope watakuwa fine

Game ni nzuri sana mpk sasa ni bila bila ila Liver wanapumulia mashine mshukuru sana Keane miguu yake haina akili leo
 
Last edited:
Damn You Liverpool........ How do we concede such goals, we played utterly shit!! Just like Manure
 
Correction game half time Tot'ham 1 Liver 0
 
Damn You Liverpool........ How do we concede such goals, we played utterly shit!! Just like Manure

Ebo!! yani bila kuitaja Man U siku haiendi enh? Huyo Robbie Keane naona anawalostisha wenzake. Na huyo Babel naye its high time akalive up to his potential.
 
Kaka Taratibu.. Thats football!!! Lets wait until 90 minutes.... we need to replace Lucas and allow Gerrard to move back and take command in the middle, get Benayoun for Babbel

C'mon Liverpool, we waint Manure, nor arses!!!
 
...MTM upo? Quemu umeadimika bro! mukulu FMES je? ...EPL ndio ishaanza hii,...'hamadi' kibindoni jana -washika bunduki- tushawekeza!

Belo, umemsahau Rio hapo kwenye listi ya majeruhi sugu!...anyway, Manure mna thead yenu, hapa pana wenyewe!

Hao watakuja kwenye jukwaa hili pindi Liverpool akiifunga Manchester United.

Haya ngwe ya pili hiyo.
 
Back
Top Bottom