Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kaka taratibu.. Thats football!!! Lets wait until 90 minutes.... We need to replace lucas and allow gerrard to move back and take command in the middle, get benayoun for babbel

c'mon liverpool, we waint manure, nor arses!!!


aaaaaahhhhhh ahhhhh a a aaa bwawa la maini chaliiii na bado
 
Haha umesikia dongo ilo la mtangazaji kuhusu Liverpool?
 
uzuri wa benitez hamuanzishi benayoun manake yule jamaa mbaya sana huwa namuogopa kweli.naomba mungu benitez aendelee hivyo hivyo kumleta kama sub lol.
 
Liver ninachowapendea mpira mpaka uishe ndio kwao unaisha yaani speed mwanzo mwisho kwa hiyo watarudisha tu
 
Mna bahati sana hamna Audible kama za Yahoo Messenger hahahahahahahaha

Game imeisha Tot'ham 2 Liver Poop 1

Ligi imeanza sasa mwanawaneeeee
 
Mkamia maji. waliingia na mentali ya 4 x 4 x 3poits. Rafa akakune kichwa sasa
 
Watani poleni, maana dah mlinitibua sana wakati tunacheza na B-ham kuna mijitu ilikuwa inazungumza sana uchafu. Milioni nane ya Bassong imelipa leo.
 
Back
Top Bottom