Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mpendwa Sunderland,

Asante sana, tena kwa sana Sunderland kwa zawadi kuubwa ya kuwapiga Stooop Man City. Hata hivyo bado tunahitaji msaada wako kiduchu - piga bao kabisaa Chelsea (a.k.a long balls) hiyo J'mosi, kimoja tu kinawatosha! Yes, You Can!

Wasalaamu!

#TeamLFC
 

Hata droo watakuwa wametupigia job ya maana sana hahahaha!
 
Hata droo watakuwa wametupigia job ya maana sana hahahaha!


Mpendwa Norwich City:

Pole na majukumu; najua ni hivi majuzi tu mmemfukuza kocha wenu Chris.
Ninapoandika barua hii nafikiria sana hali yako; Jumapili utakutana na 'kibabu' kimoja LFC.

Norwich ushindi wako jumapili ni muhimu sana kwa maisha yako ya msimu ujao. Nakushauri usimchekee 'nyani shambani ili usije kuvuna mabua'.
Mwaka huu ulifaulu kutoka suluhu na Man City. Kama uliweza kumfunga Man Utd na Arsenal msimu uliopita kwenye uwanja huo huo hapo barazani kwako kwa nini ushindwe kumzuia LFC.

Kumbuka huyu LFC hajawahi kuwa bingwa kwa miaka 24 iliyopita. Asikutishe:
Uwezo wa kumfunga Unao.
Nia ya kumfunga Unayo.
Na sababu za kumfunga Unazo:

NB: Ushindi wako ni kwa manufaa yangu mimi na wewe:
Ndugu yako na jirani yako kutoka LONDON.

:A S-alert1:

SIMBA MWENDA POLE..KIMYA KIMYA ..
GOLI CHACHE POINTS NYINGI.
HATUFUNGWI MPAKA TUJIFUNGE.

CHELSEA FC;
ONCE BLUE..ALWAYS BLUE.


 

Pole sana ndugu kutoka London...barua yako haijafika kwa muhusika coz Poster Master ni mdau wa LFC!
 
Pole sana ndugu kutoka London...barua yako haijafika kwa muhusika coz Poster Master ni mdau wa LFC!



Teh Teh Teh

Gwamahala na Baba Kelvin huyo jamaa yenu hanisumbui nilikua nataka kumjulisha tu kwamba sio kutoa lugha mbovu anaweza yeye tu!

Unajua hapa tunajadiliana hapa tunataniana etc! Sasa yeye hajui hayo ni kutoa lugha mbovu tu! Hii ni Mara ya pili Sasa anafanya hivyo!

Ebu angalia hoja zako hapo juu na Mkuu agosti 8 ni nzuri mnabishana na kwa hoja etc! Lkn yeye ni lugha mbovu tu!

Anyway! Hawezi kunitoa Ktk thread yenu Kwani tuna changamsha jukwaa la sports kwa kujadilia Na wakuu mbalimbali!
 
Last edited by a moderator:
Achana naye huyo hajui tu jinsi unavochangamsha haka kauzi ketu siye tunafurahia uwepo wako hapa!

Huyo Sijui ni mtu gani?

Lkn Nashukuru kwa Kua tunachokifanya hapa ni kuchangamshana!
 
BR leo kwenye Pre-Match presser ya Norwich Vs Liverpool, Alivyoulzwa kuhusu Sturridge's injury alijibu: He May struggle for the weekend, not too serious though, May be a risk (to play him) for the Weekend, We'll assess it over next couple days...He does recover very quickly, it certainly not as serious as sometimes a hamstring injury can be...

So nadhan Injury ya Sturridge is not tha serious, sasa sijajua kama atakuwepi Bench on Sunday, coz nahis hawatak kufanya risk ya kumchezesha on sunday...

Au ni mind games!!!!!??...We dont know..
 
When asked about game ilyopta against Man city, Alijibu: "We were under pressure for 20 mins Vs city, When you (Man city) have the biggest wage bill in sport, you have to perfome well at some stage"

BR nae ana choko choko sana siku hizi..
 
Naona uzi umegeuka kua uwanja wa mipasho....football makes frnds asilimia kubwa ya rafiki zangu tumejuana kwenye michezo..sasa mtu anapotaka kuijadili timu yake bila bughuza nahisi huyo sio shabiki wa kwli...mkuu ntuzu usiwaze sana.
 
Liverpool results at Anfield against top 7:
LFC 1-0 Man United
LFC 4-0 Everton
LFC 5-1 Arsenal
LFC 4-0 Spurs
LFC 3-2 Man City

Maximum points, 17 goals scored - 3 conceded
Chelsea left



Aione Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
F.off.....wewe mbona hujajiita jina la kilugha chenu unajiita The Magnificent??ungejiita jina la kijijini kwenu ungepata mimba ya matakon.i....msen.ge wewe.

Punguza Jazba! Anyway,wapi The Magnificent limekosewa? Mimi sijakukataza kuandika kwa lugha hiyo unayoipenda! Tatizo huijui! Unalazimisha tu....! ukiamua kuandika kitu kwa lugha fulani,hakikisha umeandika kwa usahihi...!
Karibu,
 
Liverpool results at Anfield against top 7:
LFC 1-0 Man United
LFC 4-0 Everton
LFC 5-1 Arsenal
LFC 4-0 Spurs
LFC 3-2 Man City

Maximum points, 17 goals scored - 3 conceded
Chelsea left




Mkuu Magnificent, Nahis itabid ndugu zetu #BlueNoses Everton, watusaidie kwa Man city, itabid Man city wadrop points again, Maana naihofia sana game ya Crystal palace, ikiwa tu Man city hatodrop points tena...

Game ya Crystal palace ipo very tricky..
 

Hii ligi bado mbichi kabisa...4sure naihofia CP kuliko hata chelsky,Kufuatia matokeo ya jana ya Man city,tunatakiwa kushinda game tatu na droo moja kuchukua ndoo..! Ila naamini BR atafanya mambo.na Tactics za hatari...tatizo tunamkosa mchezaji wetu muhimu sana,Hendo..! kila nikifikiria simuoni wa kuziba nafasi yake pale..!
 
Naona uzi umegeuka kua uwanja wa mipasho....football makes frnds asilimia kubwa ya rafiki zangu tumejuana kwenye michezo..sasa mtu anapotaka kuijadili timu yake bila bughuza nahisi huyo sio shabiki wa kwli...mkuu ntuzu usiwaze sana.


Mkuu huyo anipi tabu! Na ndio Maana niko hapa!

Zaidi yeye ndio anaeonekana Kua Mwenye matatizo!

Mi mambo ya Mpira nayapenda sn na Mpira hasa wenyewe na ndio Maana Ktk threads zote za Mpira utakuta nimechungulia! Ni thread ya Man Utd tu ndio huwezi kuta nimeongea sn coz Man Utd wamekua na kipindi kigumu kwa muda mrefu sn mpk thread Yao imepoa vile!

Unajua mi napenda ushindani hasa Ktk Zile timu zinazo leta challenge kwa timu yng! Na ndio Maana thread ya Arsenal ilikua ndio ya kwanza kuishambulia mpk nilipomaliza biashara na wao! Na sasaivi wote tumekua marafiki km kina Katavi Sizinga etc all arsenal fans! Nikifungwa wananipa pole Nami pia nafanya hivyo! Kwahiyo ndio mambo ya Mpira yalivyo!

Then thread ya man city! Kule ndugu ndetichia ananifahamu sn na tumekua marafiki coz deal imekwisha! Imebaki adui yako muombee njaa! Teh Teh Teh Teh

Huku kwenu kulikua na mtu mmoja Mwenye Roho ngumu Mwenye SAINI ya NILIKUWEPO!( Okhondima ). Huyu kitambo anakomaa na liver Ktk jukwaa lake lililopoa! Wengi wamekuja sasaivi baada ya kuona, eeeh kumbe na sisi tunaweza! Teh Teh Teh Teh Teh

By the way, naheshimu hoja za Watu wote Iwe ukweli anachosema au mahaba kwanza kwa timu au ubishi tu! Na hii mpk sasa Nimekua na marafiki wengi Ktk mijadala km Wewe MosDef Baba Kelvin Gwamahala nguvu Mr. Wise na Liverpool fans wote ambao sijawataja na wapenzi Wa soccer wote, wenyew Twajadiliana uzuri kabisa hapa Ingawa itikadi yng au yetu Chelsea ni kutokukubali kushindwa au kuisema madhaifu timu yetu hadharani ndio Maana wengine wanasema Mbona Wewe Ntuzu unajiamini sn! Teh Teh Teh Teh ! Sisi hatuhofii cha timu yoyote ile na ndio Maana Ktk thread yetu kule hakuna hoja za kuhofia timu! Yani sisi Ni mwendo mdundo tu!

Pamoja sn Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…