MahinaVeterani
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 710
- 256
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunazungumzia mambo ya uwanjani...tabia za mpirani ndo tunajadili hapa.
Mpendwa Sunderland,
Asante sana, tena kwa sana Sunderland kwa zawadi kuubwa ya kuwapiga Stooop Man City. Hata hivyo bado tunahitaji msaada wako kiduchu - piga bao kabisaa Chelsea (a.k.a long balls) hiyo J'mosi, kimoja tu kinawatosha! Yes, You Can!
Wasalaamu!
#TeamLFC
Hata droo watakuwa wametupigia job ya maana sana hahahaha!
subiri jumapili; hata City alifikiri ni rahisi..NORWICH cITY wako namba 4 kutoka chini..take care
Hapo kwenye red...I already took care of many that's why nipo hapa nilipo saizi.
Pamoja sana...YNWA!
0Ulukolokwitanga Wewe Kabila gani? Nikuambie kwamba naweza kukujibu niwezavyo Lkn tutaonekana wote wajinga!
Hujalazimishwa kuquote post zng! Ukiona post yng iache!
nakuja tarehe 27 jiandae..:fencing:
Mpendwa Norwich City:
Pole na majukumu; najua ni hivi majuzi tu mmemfukuza kocha wenu Chris.
Ninapoandika barua hii nafikiria sana hali yako; Jumapili utakutana na 'kibabu' kimoja LFC.
Norwich ushindi wako jumapili ni muhimu sana kwa maisha yako ya msimu ujao. Nakushauri usimchekee 'nyani shambani ili usije kuvuna mabua'.
Mwaka huu ulifaulu kutoka suluhu na Man City. Kama uliweza kumfunga Man Utd na Arsenal msimu uliopita kwenye uwanja huo huo hapo barazani kwako kwa nini ushindwe kumzuia LFC.
Kumbuka huyu LFC hajawahi kuwa bingwa kwa miaka 24 iliyopita. Asikutishe:
Uwezo wa kumfunga Unao.
Nia ya kumfunga Unayo.
Na sababu za kumfunga Unazo:
NB: Ushindi wako ni kwa manufaa yangu mimi na wewe:
Ndugu yako na jirani yako kutoka LONDON.
:A S-alert1:
SIMBA MWENDA POLE..KIMYA KIMYA ..
GOLI CHACHE POINTS NYINGI.
HATUFUNGWI MPAKA TUJIFUNGE.
CHELSEA FC;
ONCE BLUE..ALWAYS BLUE.
Pole sana ndugu kutoka London...barua yako haijafika kwa muhusika coz Poster Master ni mdau wa LFC!
Achana naye huyo hajui tu jinsi unavochangamsha haka kauzi ketu siye tunafurahia uwepo wako hapa!
F.off.....wewe mbona hujajiita jina la kilugha chenu unajiita The Magnificent??ungejiita jina la kijijini kwenu ungepata mimba ya matakon.i....msen.ge wewe.
Liverpool results at Anfield against top 7:
LFC 1-0 Man United
LFC 4-0 Everton
LFC 5-1 Arsenal
LFC 4-0 Spurs
LFC 3-2 Man City
Maximum points, 17 goals scored - 3 conceded
Chelsea left
Mkuu Magnificent, Nahis itabid ndugu zetu #BlueNoses Everton, watusaidie kwa Man city, itabid Man city wadrop points again, Maana naihofia sana game ya Crystal palace, ikiwa tu Man city hatodrop points tena...
Game ya Crystal palace ipo very tricky..
Naona uzi umegeuka kua uwanja wa mipasho....football makes frnds asilimia kubwa ya rafiki zangu tumejuana kwenye michezo..sasa mtu anapotaka kuijadili timu yake bila bughuza nahisi huyo sio shabiki wa kwli...mkuu ntuzu usiwaze sana.