Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa nini nisiitaje:
Timu 4 zilizobaki ni: Real Madrid, Bayern Munich, Chelsea, Atletico Madrid ongeza ya tano wewe.

hahahah

Hoja ya CL ni dhaifu sana..Manchester Utd imeingia mpaka hatua ya mtoano this season..

Je ni team bora????
 
umeanza kutepeta sasa.. ?
wewe ni timu kongwe..ila katu si timu bora.

kwa miaka 20 iliyopita mimi ni bora kuliko wewe..kila idara.
hiyo Ajax nmekutajia tu, ili ujue, kuna team zina vitu vikubwa ila hazipig makelele..
 

umeona sasa!!!!

bado upo na data za 2009???

nimekwambia kwa msimu huu shekhe!!!!

Barcelona haiwez ikawepo namba moja..

wala Bayern Munich kuwa namba 3 kaka..

sometimes changanya na akili zako..

hapa tunazungumzia msimu huu
 
Kwa nini nisiitaje:
Timu 4 zilizobaki ni: Real Madrid, Bayern Munich, Chelsea, Atletico Madrid ongeza ya tano wewe.


Teh Teh Teh Teh

Maweeeeeeeeeeeeee! Ya 5 mchezo!

Chelsea ndio mkombozi England!

Watake wasitake!
 
umeona sasa!!!!

bado upo na data za 2009???

nimekwambia kwa msimu huu shekhe!!!!

Barcelona haiwez ikawepo namba moja..

wala Bayern Munich kuwa namba 3 kaka..

sometimes changanya na akili zako..

hapa tunazungumzia msimu huu


DATA ZA UEFA zinajiongeza kulingana na timu inavyoshirika mashindano ya UEFA; kizazi cha digitali hiki mkuu MOSDEF au bado uko zama za analojia kusimulia mpira redioni?

Kila timu inavyopafomu alama zinaongezeka umeelewa sasa? Kama viwango vya FIFA mkifanya vibaya mnashuka tu..

Sasa wewe LIVERPOOL umepotea sana huku kweney LIGI YA MABINGWA; kwanza mwaka huu unashangilia timu gani kwenye UEFA SEMI FINAL?
Maana Liverpool haitoshi...maana pumzi ndogo.
 
Mkuu umerudi eeh! natumai ibada imeenda vzuri either ijumaa kuu or jumaa kareem, alafu usiongeze siku mecxhi ni tar27 bado cku 9 tu nahisi una mchecheto wa kufungwa sio bure


Mkuu mi nipo nilikua na pilika Kidogo!

Naona ndugu yng agosti 8 kawawashia moto sn! Yani nyie lazima mchemke!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mi nipo nilikua na pilika Kidogo!

Naona ndugu yng agosti 8 kawawashia moto sn! Yani nyie lazima mchemke!


Mkuu Ntuzu karibu jukwaani; mimi na wewe tunawatosha kabisa..akija na Mentor ndo kabisaa wanapotea. Mashabiki wa LIverpool wachovu sana ndo maana hii thread ina pages ambazo hazijafika hata 400 yaani!


 
umeanza kutepeta sasa.. ?
wewe ni timu kongwe..ila katu si timu bora.

kwa miaka 20 iliyopita mimi ni bora kuliko wewe..kila idara.

una uhakika na unachokisema??

for the past 20 years???

Chelsea imekuwa bora zaid ya Liverpool consistently kuanzia 2009 mpk 2013 tu..na ubora huo katika idara ya Kumalza juu ya Liverpool na kucheza UCL..lakin kwenye idara ya head to head matches NO..
 
UBORA WA MPIRA SI HEAD TO HEAD.

Kwa miaka 20 iliyopita nimekuzidi sana...mfano mdogo tu: Mimi CFC ndo niliyekutoa kwenye UCL SEMI FINAL yako ya mwisho.

Hujachukua ligi kwa zaid ya miaka 20.
FA final yako ya mwisho nilikuchapa 2-1.

UCl na EUROPa tuko sawa katika kipindi hicho cha miaka 20.

 
kweli una biashara na cc yaani nimekutafuta kule nikukumbushe leo ijumaa kuu, ila cjakupata, mara yamwisho ulionekana ukimfundisha mtu mambo ya avatat ukakimbia jumla, najua baada ya tar27 hutaonekana humu



Wewe huoni Siku hizi mmeshindwa ata kupanga mipango yenu na kufanya uchambuzi Imebaki ni kushindana na chelsea tu!


Teh Teh Teh Teh
 
Mkuu Ntuzu karibu jukwaani; mimi na wewe tunawatosha kabisa..akija na Mentor ndo kabisaa wanapotea. Mashabiki wa LIverpool wachovu sana ndo maana hii thread ina pages ambazo hazijafika hata 400 yaani!






Mkuu Hawa Mbona wetu Hawa mpk Tarehe 27 watakua wameshasema legea kabisa!

Teh Teh Teh natoa pole kwa SG mipango Yake ya kustaafu na ndoo asahau kabisa!

Teh Teh Teh

Chezea Simba Wa blue Wewe!?!
 
RRONDO na yeye hana timu Siku hizi Zaidi kuhamahama!

Teh Teh Teh
 
Last edited by a moderator:
Unataka kujua timu bora za msimu huu kulingana na UEFA?
kamata orodha mwana:

1. Barcelona CF
2. Real Madrid CF
3. Bayern Munich
4. Chelsea FC
5. Man United
6. SL Benfica
7. Club Atletico de Madrid.
8.
Valencia CF
9. Arsenal FC
10. FC Porto
11. AC Milan


32. Liverpool FC

umeridhika sasa?



umeona sasa!!!!

bado upo na data za 2009???

nimekwambia kwa msimu huu shekhe!!!!

Barcelona haiwez ikawepo namba moja..

wala Bayern Munich kuwa namba 3 kaka..

sometimes changanya na akili zako..

hapa tunazungumzia msimu huu
 
Nimewaambia twende hoja kwa hoja.

Mimi nakubali .. na hata wewe mkuu Ntuzu najua unakubali kwamba Liverpool fc ni timu kongwe;

Ila kwenye ubora LIVERPOOL bado sana kwa msimu huu wako #32. sisi wazee wa vitendo CFC Simba wa Blue tuko #4.

Si unaona hata kwenye CHAMPIONS LEAGUE tupo tumebaki hadi sasa.
Kwenye ligi tumewatanguliza 'MAJOGOO na sisi SIMBA tuko nyuma nyao taratibuu:smile-big:
Mkuu Hawa Mbona wetu Hawa mpk Tarehe 27 watakua wameshasema legea kabisa!

Teh Teh Teh natoa pole kwa SG mipango Yake ya kustaafu na ndoo asahau kabisa!

Teh Teh Teh

Chezea Simba Wa blue Wewe!?!
 
Naona unatafuta majibu ya kuja kujibu..njoo tu hata kama umekosa!

🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…