Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

wewe wasema:

Chelsea Football Club /ˈtʃɛlsiː/ is an English football club based in Fulham, London. Founded in 1905, they play in the Premier League and have spent most of their history in the top tier of English football. Their home ground is the 41,837-seat[SUP][2][/SUP] Stamford Bridge stadium, where they have played since their establishment.
Chelsea had their first major success in 1955, when they won the league championship, and won various cup competitions during the 1960s, 1970s, 1990s and 2000s. The club has enjoyed its greatest period of success in the past two decades, winning 15 major trophies since 1997.[SUP][3][/SUP] Domestically, Chelsea have won four league titles, seven FA Cups, four League Cups and four FA Community Shields, while in continental competitions they have won two UEFA Cup Winners' Cups, one UEFA Super Cup, one UEFA Europa League and one UEFA Champions League. Chelsea are the only London club to win the UEFA Champions League,[SUP][4][/SUP] and one of four clubs, and the only British club, to have won all three main UEFA club competitions.[SUP][5][/SUP][SUP][6][/SUP]

Hahahahah

ungekuwa umeisoma hyo article tangu mwazo sidhani kama ungekuja hapa kusema kuwa UMEBEBA makombe yoooote yanayoandaliwa na UEFA..

Nadhan utakuwa ushajijibu sasa!!!
 
ngoje nikukumbushe mtani;
hiyo hapo chini ni comment yako mwenyewe..nimekujibu kama ulivyouliza.

sidhani kama ni nyinyi pekee mmeshinda makombe yote yanayoandaliwa na UEFA....liverpool washashinda uefa cup ambayo ndio europa ligi sasa utasema vipi ni chelsea pekee??

vipi mshawahi kushinda CLUB WORLD CUP???
mimi nimesema UEFA CUP.
 
same to you.

same kwangu kivipi???

Me nmekwambia hujabeba Intercontnental cup wala UEFA intertoto Cup, na yote yapo endorsed na UEFA

Umeshinda only three main UEFA club competitions..

Lakini hujashinda MAKOMBE yote yalyoandaliwa na UEFA..

Kitu gan ambacho hakieleweki hapo???

UEFA wana endorse jumla ya Makombe SITA.
 
the quality team for quality competitions:

ushakubali kimya kimya..
 
Teh Teh Teh Teh Teh

Mkuu agosti 8 nimefatilia huu mnakasha na Hawa vijana Wa LFC kwa kweli umewachakaza! Teh Teh Teh Teh

Akina RRONDO wamehama kabisa Ktk thread Yao iloyo poa km Maji ya Mtungi Teh Teh Teh Teh!

nguvu ana tumia kwa nguvu kutoa hoja!

MosDef Baba Kelvin Gwamahala mnankasha na Chelsea hamuuwezi!

Teh Teh Teh

Bado Siku 10 muangushe kilio na Babu yenu SG! Atastaafu bila kombe la EPL!
 
Last edited by a moderator:
RRONDO naongea vitu ambavyo ninazo source; wenyewe wanajua kwamba UEFA CUP WINNERS CUP hawajawahi kuchukua mbona unawatetea? Wewe tulia waje waseme wenyewe..kuhusu hilo kombe kwenye rangi nyekundu; linaandaliwana FIFA.

Sasa ulitaka tudanganye??..me siwez kuforce uongo uwe ukwel kama wewe unavyoforce kuwa Umebeba makombe yote yanayoandaliwa na UEFA..

LIST OF UEFA CLUBS COMPETITIONS WINNERS (mashindano yote yanayoandaliwa na UEFA)..(TOP TEN)

1. AC MILAN -17
2. REAL MADRID - 15
3. BARCELONA - 12
4. JUVENTUS - 11
5. LIVERPOOL- 11
6. AJAX- 10
7. BAYERN MUNICH -10
8. INTER MILAN - 8
9. PORTO - 7
10. MANCHESTER UTD - 5
 
the quality team for quality competitions:

ushakubali kimya kimya..

hata AJAX ya uholanzi ishafanya hivyo..so kwao kule pia wanasema "the only netherland team to won all main three UEFA competitions!!'
 
the quality team for quality competitions:

ushakubali kimya kimya..

yaan wewe kwenye mpira wa Europe ni kama Mbeya city kwenye mpira wa Bongo..

Bado unakua..lakin bado hujafikia kiwango cha kutambulika kama club yenye mafanikio ULAYA..

Bado saaaaaaaaana!!!!!!!
 
Sasa ulitaka tudanganye??..me siwez kuforce uongo uwe ukwel kama wewe unavyoforce kuwa Umebeba makombe yote yanayoandaliwa na UEFA..

LIST OF UEFA CLUBS COMPETITIONS WINNERS (mashindano yote yanayoandaliwa na UEFA)..(TOP TEN)

1. AC MILAN -17
2. REAL MADRID - 15
3. BARCELONA - 12
4. JUVENTUS - 11
5. LIVERPOOL- 11
6. AJAX- 10
7. BAYERN MUNICH -10
8. INTER MILAN - 8
9. PORTO - 7
10. MANCHESTER UTD - 5

wingi si hoja..hoja ubora.
nimekuambia sis ni timu bora nyinyi ni timu kongwe.

Mara yako ya mwisho kucheza NUSU FAINALI YA champions league ilikuwa lini mjomba, na nani alikutoa?
Mara yako ya mwisho kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya uingereza ilikuwa mwaka gani?

Liverpool timu kongwe..Chelsea timu bora:

Hata AL Ahly ya Misri imechukua mataji 18 ya kimataifa; ndo timu yenye mataji mengi kuliko hata AC Milan lakini swali linabaki je mataji ya Al Ahly yanaifanya timu hiyo iwe bora kuliko Ac Milan?

yaan wewe kwenye mpira wa Europe ni kama Mbeya city kwenye mpira wa Bongo..

Bado unakua..lakin bado hujafikia kiwango cha kutambulika kama club yenye mafanikio ULAYA..

Bado saaaaaaaaana!!!!!!!

Mafanikio yako ya kusimuliwa; enzi za analojia?

safi sana naona unahamia AJAX AMSTERDAM; timu 3 tu ndo zenye hadhi kama yetu. Sisi tumekamilika..nyinyi bado sana. Kama wewe ni timu bora kwa nini hujawahi kuchukua PREMIER LEAGUE?
hata AJAX ya uholanzi ishafanya hivyo..so kwao kule pia wanasema "the only netherland team to won all main three UEFA competitions!!'
 
wingi si hoja..hoja ubora.
nimekuambia sis ni timu bora nyinyi ni timu kongwe.

Mara yako ya mwisho kucheza NUSU FAINALI YA champions league ilikuwa lini mjomba, na nani alikutoa?
Mara yako ya mwisho kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya uingereza ilikuwa mwaka gani?

Liverpool timu kongwe..Chelsea timu bora:

Hata AL Ahly ya Misri imechukua mataji 18 ya kimataifa; ndo timu yenye mataji mengi kuliko hata AC Milan lakini swali linabaki je mataji ya Al Ahly yanaifanya timu hiyo iwe bora kuliko Ac Milan?

Msimu huu ukiambiwa utaje team 3 bora kwenye league 5 za ulaya..

Ya kwako utaitaja???
 
Teh Teh Teh Teh Teh

Mkuu agosti 8 nimefatilia huu mnakasha na Hawa vijana Wa LFC kwa kweli umewachakaza! Teh Teh Teh Teh

Akina RRONDO wamehama kabisa Ktk thread Yao iloyo poa km Maji ya Mtungi Teh Teh Teh Teh!

nguvu ana tumia kwa nguvu kutoa hoja!

MosDef Baba Kelvin Gwamahala mnankasha na Chelsea hamuuwezi!

Teh Teh Teh

Bado Siku 10 muangushe kilio na Babu yenu SG! Atastaafu bila kombe la EPL!
Mkuu umerudi eeh! natumai ibada imeenda vzuri either ijumaa kuu or jumaa kareem, alafu usiongeze siku mecxhi ni tar27 bado cku 9 tu nahisi una mchecheto wa kufungwa sio bure
 
safi sana naona unahamia AJAX AMSTERDAM; timu 3 tu ndo zenye hadhi kama yetu. Sisi tumekamilika..nyinyi bado sana. Kama wewe ni timu bora kwa nini hujawahi kuchukua PREMIER LEAGUE?

PL syo hoja kaka..suala tunaloangalia hapa ni team gani zinazoongoza kwa league titles ENGLAND..

Na pia kama wewe ni team bora na unayodai ni bora Zaid, mbona haijachukua PL tangu 2010..

Team bora gan, kama unavyoipamba wewe. inakaa miaka 4 bila league title????
 
Kwa nini nisiitaje:
Timu 4 zilizobaki ni: Real Madrid, Bayern Munich, Chelsea, Atletico Madrid ongeza ya tano wewe.
Msimu huu ukiambiwa utaje team 3 bora kwenye league 5 za ulaya..

Ya kwako utaitaja???
 
safi sana naona unahamia AJAX AMSTERDAM; timu 3 tu ndo zenye hadhi kama yetu. Sisi tumekamilika..nyinyi bado sana. Kama wewe ni timu bora kwa nini hujawahi kuchukua PREMIER LEAGUE?

hiyo Ajax nmekutajia tu, ili ujue, kuna team zina vitu vikubwa ila hazipig makelele..
 
PL syo hoja kaka..suala tunaloangalia hapa ni team gani zinazoongoza kwa league titles ENGLAND..

Na pia kama wewe ni team bora na unayodai ni bora Zaid, mbona haijachukua PL tangu 2010..

Team bora gan, kama unavyoipamba wewe. inakaa miaka 4 bila league title????

Naomba nikupe shule kidogo; UEFA tangu mwaka 2009 wameanzisha utaratibu wa kupanga rankings za timu nenda kasome kule acha utata; inaonekana hujui nisemacho.

soma vitu hapo:
Ubora wa timu since 2009:
1. Barcelona CF
2. Real Madrid CF
3. Bayern Munich
4. Chelsea FC

liverpool fc haimo hata katika top 20 nakuambia...aibu sana.. mnafanya nini sasa?
 
Back
Top Bottom