Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Game iko njema vijana wamemilki mpaka dakika Hui ingawa na vyenyewe vinashtukiza!

Sawasawa kabisa ila hivyo vijamaa havitabirikagi, Liver anatakiwa aongeze speed ya magoli hapo
 
Liver tutapata pia na penalt 1 halafu ho norwich wanacheza sana foul huenda wakamaliza hii game wakiwa pungufu.
 
Anapiga kona suarez ila mpira unatoka na ni goal kick
 
Dakika 45 kipindi cha kwanza zimekatika na zimeongezwa dk 2
 
Muda wowote mpira utakua mapumziko, bao ni 2 kwa bila, liva ndo wanaongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…