teh teh teh wewe ndiyo Ligendary wa kukimbilia darini sasa me nimegundua safari hii tutamtafuta Dr Manyaunyau.
c.c Sizinga
Leo mambo tuliyofanyiwa na MIKE DEAN kwa game ya Sunderland lazima yajirudie!
Lkn WAAMUZI WAKIWA FAIR, lazima Loserfool mkae!
Khe Khe Khe Khe
Mkuu mbona mnapata tabu na Mimi kila wakati niko hapa?
Tulieni tu muone tunavyo linyonyoa jogoo!
Sinziga umeshaanza na mambo yako sasa! Muamuzi ana matatizo gani na nyie wakati game iliyopita tuliyocheza nyumbani kwenu,waamuzi wote walikuwa upande wenu!Leo mambo tuliyofanyiwa na MIKE DEAN kwa game ya Sunderland lazima yajirudie!
Lkn WAAMUZI WAKIWA FAIR, lazima Loserfool mkae!
Mmeshaanza visingizio kwa kweli hii ni like father like son.
Sinziga umeshaanza na mambo yako sasa! Muamuzi ana matatizo gani na nyie wakati game iliyopita tuliyocheza nyumbani kwenu,waamuzi wote walikuwa upande wenu!
Au na sisi mtaanza kutuita timu ya Malkia eeeh?
"Nlikuwepo":bolt:
Na leo kazi mnayo kweli,Sturridge anarudi baada ya kuwakosa game ya mwanzo!Khe Khe Khe Khe Khe
Tulieni muone kz Leo!
Ntuzu acha uoga ndugu...tulia upate dozi hapo baadaye!
CONFIRMED #LFC team Vs Chelsea: Mignolet, GJ, Flanagan, Skrtel, sakho, Gerrard, Allen, Lucas, Coutinho, Sterling, Suarez
Subs: Brad jones, Toure, Agger, Cissokho, Alberto, Aspas, Sturridge..