Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
J2 ni kumfumua tu...!
U2 ifike haraka ili nione Hawa jamaa wanavyokimbia jukwaa Lao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
J2 ni kumfumua tu...!
From BBC Swahili;
"Mourhino anataka kupanga kikosi dhaifu game ya liverpool ili kwa kujiandaa zaidi na Atletico".
Huyu jamaa ni mpiga domo, anahofu na kichapo kikubwa. So anatafuta sababu na ujanja tujiachie ila jumapili ni kipigo tu.
Henderson anaamini uwepo wa Sturridge katika gemu ya Chelsea utapelekea Mauaji hatari kuliko hata ya Interahamwe!!!
tunamkosa sana hendo! Ile namba yake naona lucas anacheza makida makida tu.
From BBC Swahili;
"Mourhino anataka kupanga kikosi dhaifu game ya liverpool ili kwa kujiandaa zaidi na Atletico".
Huyu jamaa ni mpiga domo, anahofu na kichapo kikubwa. So anatafuta sababu na ujanja tujiachie ila jumapili ni kipigo tu.
Siku hizi huku mitaani inabidi kama ulikuwa mshabiki wa Liverpool tok zamani ujikaushe tu, kumeibuka washabiki wengi kama uyoga, duh!
Humu napitaga kuangalia tu, kuna watu ni wabishi duh!
Hata mie nashangaa kwanini kiwango chake kinazidi kushuka kila siku, kwa kweli kukosekana kwa Henderson ni pengo kubwa, ila ushindi ni lazima!!
Naona mwapiga story wenyewe huku mwafurahi Khe Khe Khe Khe
J2 imekua Karibu sn ni keshokutwa tu!
Nakuja Vzr sn kuwapiga!
Baba Kelvin Kaa tayari!
Chelsea mkimpania Suarez na Sturridge huyo hapa dogo janja atawaua
U2 ifike haraka ili nione Hawa jamaa wanavyokimbia jukwaa Lao!
Ntuzu bhana! unafanya nicheke sana! golkipa atakuwa hilali au? ila leo nimefurahi wakati nafungua jukwaa la sport uzi wa chelsea unaonesha mchangiaji wa mwisho ni mosDef na uzi wa liver mchangiaji wa mwisho ni ntuzu, hapo nikaamini kuna biashara inaendelea, lets wait 27