Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ntuzu nimekuja tena, karibu anfield jumapili. Najua maumivu ya Terry na Cech yatakuwa sababu kwako pindi utakapopokea kichapo. Ila kubali kuwa point tatu unaziacha pale pale nyumbani.

Nilishasema tangu mwanzo,zile timu zote ambazo walitufunga game za mwanzo hizi zinazofata kwao ni vipigo tu,hasa kwa zile timu zilizonifunga katika viwanja vyao vya nyumbani. Alianza Arsenal kutufunga kwao bao 2, akaja kwetu goli tano zikamuhusu.
Man city nae alitufunga kimizengwe,alipokuja kitaa goli 3 zikamuhusu. Sasa ni chelsea waliotufunga kimizengwe wanakuja kitaa na majeruhi yao kuoga goli.
Mimi nipo ndugu yangu.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Last edited by a moderator:

Si wenyewe tulienda darajan pale, bila SG, GJ, DS, JA aliumia second half, akaingia Brad smith, Nakumbuka Agger alicheza namba 3 sku ile...

Lakin Chelshit wakaushia kushinda 2-1 tu..

So sidhan kama wataleta sababu za injuries watakapokufa pale ANFIELD!!!!
 
Last edited by a moderator:
ImageUploadedByJamiiForums1398252031.511555.jpg

nimeipenda hii.
 
Ntuzu nimekuja tena, karibu anfield jumapili. Najua maumivu ya Terry na Cech yatakuwa sababu kwako pindi utakapopokea kichapo. Ila kubali kuwa point tatu unaziacha pale pale nyumbani.

Nilishasema tangu mwanzo,zile timu zote ambazo walitufunga game za mwanzo hizi zinazofata kwao ni vipigo tu,hasa kwa zile timu zilizonifunga katika viwanja vyao vya nyumbani. Alianza Arsenal kutufunga kwao bao 2, akaja kwetu goli tano zikamuhusu.
Man city nae alitufunga kimizengwe,alipokuja kitaa goli 3 zikamuhusu. Sasa ni chelsea waliotufunga kimizengwe wanakuja kitaa na majeruhi yao kuoga goli.
Mimi nipo ndugu yangu.

"Nlikuwepo":bolt:

Sikiliza kijana Sisi ni timu Sio ya kulia kulia juu ya wachezaji!
Lineup ya nyuma Bado imesima imara kuanzia golini mpk mbele! Mwambie na na mwenzako MosDef hiyo uliyoitaja sio sababu!

Tunakuja Vzr sn
 
Last edited by a moderator:
Safari hii ndio mtajua kama mnalia ama mmezoea. Kikubwa tunacholeta kwenu ni kilio ili mjipange upya.
Liverpool is back,hizi ni salamu kwa wale ambao wameshindwa kutamba kwa kipindi chote ambacho hatukushiriki uefa champions.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Karibuni ila mkilogwa tu mkapaki bus mtajuta kumfahamu Sir Rodgers. BR ukimpakia bus yeye analeta crane kusafisha!!

hahahahahahah!!!

BR, kwenye game ya juzi ile dhidi ya Norwich City, anasema kocha wa Norwich, Neil Adams, aliiga ile "Diamond Formation" basi ili kumdhibiti yeye akamletea hii..
ImageUploadedByJamiiForums1398265691.616835.jpg

Mwenyewe anaiita "X-MAS TREE FORMATION"

Sijui huwa anazitoa wapi!!!!
 
hahahahahahah!!!

BR, kwenye game ya juzi ile dhidi ya Norwich City, anasema kocha wa Norwich, Neil Adams, aliiga ile "Diamond Formation" basi ili kumdhibiti yeye akamletea hii..
View attachment 153528

Mwenyewe anaiita "X-MAS TREE FORMATION"

Sijui huwa anazitoa wapi!!!!

hahahahahahah!!!

BR, kwenye game ya juzi ile dhidi ya Norwich City, anasema kocha wa Norwich, Neil Adams, aliiga ile "Diamond Formation" basi ili kumdhibiti yeiye akamletea hii..
View attachment 153528

Mwenyewe anaiita "X-MAS TREE FORMATION"

Sijui huwa anazitoa wapi!!!!

Hahahahah! Christimas tree formation umetishaaaaaaaa! Liverpool daima
 
Kwenye game ya Chelshit, lazma atakuja na nyingne!!!

Manake sahv kila formation anayoiforn inamlipa!!!!
 
Khe Khe Khe Khe Khe Khe

Ata akin na mfumo Wa 1-2-3-3-3 kipigo kiko pale pale!
 
hahahahahahah!!!

BR, kwenye game ya juzi ile dhidi ya Norwich City, anasema kocha wa Norwich, Neil Adams, aliiga ile "Diamond Formation" basi ili kumdhibiti yeye akamletea hii..
View attachment 153528

Mwenyewe anaiita "X-MAS TREE FORMATION"

Sijui huwa anazitoa wapi!!!!

Hahahaha BR ni kichwa aisee! Hata wapaki semitela watatoboka tu.
 
Khe Khe Khe Khe Khe

Umeona eeeeeeh!
MKuuu hakika sio siri siku na game yetu nikikufunga tuu nakununulia jezi original ya LIVER POOL. nitakutafuta kila kona hata kama upo mkoani itakufikia tuuu
 
Back
Top Bottom