Thats what I am talking about, the best four by four by five!!
chelsea kafungwa 3-1 bikra kaogopa kuja kuiachia kwa liverpool
liverpol hamuaminiki...ni presha inapanda presha inashuka...Hawa fiorentina mbona kama wanaonekana kutuonea hiki kipindi cha kwanza? hadi sasa 2-0
liverpol hamuaminiki...ni presha inapanda presha inashuka...
Mpira dk 90 mzee
liverpol hamuaminiki...ni presha inapanda presha inashuka...
Mazee kama unaielewa vizuri liverpool ya benitez, leo ilikuwa lazma tupigwe au tutoke droo... watch this space
Poleni KOP mmeangukia pua, mbili buyu. Final score.
Kipindi cha kwanza tuliiingia na attitude isiyo yenyewe, hopefully j1 hatutaanza kama leo
Kwa matajiri watoto kupenya inawezekana, ila ITAKUWA NGUMU SANA. Mkijitahidi labda droo.
Kwa matajiri watoto kupenya inawezekana, ila ITAKUWA NGUMU SANA. Mkijitahidi labda droo.
Mazee kama unaielewa vizuri liverpool ya benitez, leo ilikuwa lazma tupigwe au tutoke droo... watch this space
Pole sana wazee wa bwawa la maini, naona jana mlishikwa pabaya.......jipangeni wakuu!
Sawa mzee j2 sio mbali, maana mwaka jana tuliwaduu sioni sababu ya kuwaacha mwaka huu, ila tu hatutakiwi kuanza na attitude kama ya leo