Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Thats what I am talking about, the best four by four by five!!

Sasa hi ni netiboli... Liver 6 Hull 1

Wakati huohuo naona utepe wa Chelsea unakatwa leo. Wigan 2 Chelsea 1...dakika ya 90
 
Fernando-Torres-Liverpool-Hull-City-Premier-L_2365398.jpg

Fernando-Torres-Liverpool-Hull-City-Premier-L_2365404.jpg

Fernando-Torres-Liverpool-Hull-City-Premier-L_2365447.jpg

Fernando-Torres-Liverpool-Hull-City-Premier-L_2365465.jpg

Steven-Gerrard-Liverpool-Hull-City-Premier-Le_2365544.jpg
 
Kwa kweli Torres anatisha sana, ana karibu kila kitu! Nathubutu kusema ni best striker in the world kwa sasa! Ni mwepesi, ana nguvu, anatumia akili, ana uwezo wa kufunga kwa miguu yote miwili ama kichwa, ana uwezo wa kucheza kama last striker ama nyuma ya viungo kwa kweli anatisha! Huyu huwa anampa homa SAF, Rio na Vidic.
 
Hawa fiorentina mbona kama wanaonekana kutuonea hiki kipindi cha kwanza? hadi sasa 2-0
 
Mazee kama unaielewa vizuri liverpool ya benitez, leo ilikuwa lazma tupigwe au tutoke droo... watch this space

Kweli kabisa aisee. Liverpool inaonekana waliingia uwanjani na jicho la mechi ya jumapili na Chelsea.
 
Kwa matajiri watoto kupenya inawezekana, ila ITAKUWA NGUMU SANA. Mkijitahidi labda droo.

Sawa mzee j2 sio mbali, maana mwaka jana tuliwaduu sioni sababu ya kuwaacha mwaka huu, ila tu hatutakiwi kuanza na attitude kama ya leo
 
Last edited:
Mazee kama unaielewa vizuri liverpool ya benitez, leo ilikuwa lazma tupigwe au tutoke droo... watch this space

Pole sana wazee wa bwawa la maini, naona jana mlishikwa pabaya.......jipangeni wakuu!
 
Pole sana wazee wa bwawa la maini, naona jana mlishikwa pabaya.......jipangeni wakuu!

Mambo ya kawaida hayo, naona watu walikuwa focused sana na darajani jumamosi!!!

Ila naona Carragher kama anazeeka vibaya
 
Sawa mzee j2 sio mbali, maana mwaka jana tuliwaduu sioni sababu ya kuwaacha mwaka huu, ila tu hatutakiwi kuanza na attitude kama ya leo

Mwaka jana ni mbali sana mkuu, mi nategea hiyo encounter nione itavyokuwa. Napenda tu isiwe ya butuabutua.
 
Back
Top Bottom