Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kama kawaida ya Mourinho: Thomas Kallas #33 akacheza vizuri mwanzo mwisho.

huyu kijana huwa anacheza pia upande wa kulia.
ningependa jumatano acheze kulia alaf kushoto acheze Cesar Azpilicueta.

lakini hata Cole anafanya kazi nzuri sana. Heshima kwa Ashley Cole.:clap2:
No Luiz
No Cahill
No Torres
 
kwanza wavuke hilo basi la kwanza halafu uje la pili

hata la kwanza lenyewe lilimshinda kuvuka, sembuse la pili? kama vipi mashabiki wa Liver waandamane mpaka makao makuu ya FA wawaombe watunge sheria ya kuzuia kuingiza mabasi kiwanjani.
 
Wanamwita MARTIN ARTIKINSON

alikuwa ametuchukia tangu mwanzo, yule wa mezani ndo kabisaa. alikuwa anabishana na Mourinho kule kwenye benchi..

CHELSEA FC..kiboko yao.

CFC 2 - 1 LIVERPOOL.
LIVERPOOL 0 - 2 CFC.
CHELSEA 2 - 1 MAN CITY.
MAN CITY 0 - 1 CFC.
SPURS 1 - 1 CFC.
CHELSEA 4 - 0 SPURS.
ARSENAL 0 - 0 CFC.
CFC 6 - 0 ARSENAL
MAN UTD 0 - 0 CFC.
CFC 3 - 1 MAN UTD.

kuna mtu anatudai?🙂

Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe

No comments!

Khe Khe Khe Khe Khe
 
kwanza wavuke hilo basi la kwanza halafu uje la pili

Khe Khe Khe Khe

Gwamahala aliniambia Brendan Rodgers ataleta CRANE ya nguvu kuyatoa hayo mabasi!

Khe Khe Khe Khe Khe

Mimi nikamwambia Labda crane ya kuinulia JOGOO AKISHACHINJWA NA KUNYONYOLEWA!

Khe Khe Khe Khe Khe!
 
Last edited by a moderator:
kama kawaida ya Mourinho: Thomas Kallas #33 akacheza vizuri mwanzo mwisho.

huyu kijana huwa anacheza pia upande wa kulia.
ningependa jumatano acheze kulia alaf kushoto acheze Cesar Azpilicueta.

lakini hata Cole anafanya kazi nzuri sana. Heshima kwa Ashley Cole.:clap2:

Mkuu uko sawa kabisa!

Cole bado yuko imara kabisa Kwani ktk game ya ATM na ya Jana kafanya Vzr sn asilimia 100. Jose aliamua kumpuzisha tu hasa ukizingatia katumika sn! Na pia aliamu kuwapa wengine nafasi za kucheza ili kuleta umoja ktk timu ata Km Terry, Cahill na Luiz WAKIWA hawapo timu bado inakua imara na haitetereki!

Sio Hao wanaolia kwa kumkosa Henderson!
 
Wanamwita MARTIN ARTIKINSON

alikuwa ametuchukia tangu mwanzo, yule wa mezani ndo kabisaa. alikuwa anabishana na Mourinho kule kwenye benchi..

CHELSEA FC..kiboko yao.

CFC 2 - 1 LIVERPOOL.
LIVERPOOL 0 - 2 CFC.
CHELSEA 2 - 1 MAN CITY.
MAN CITY 0 - 1 CFC.
SPURS 1 - 1 CFC.
CHELSEA 4 - 0 SPURS.
ARSENAL 0 - 0 CFC.
CFC 6 - 0 ARSENAL
MAN UTD 0 - 0 CFC.
CFC 3 - 1 MAN UTD.

kuna mtu anatudai?🙂

Sunderland. ...Hahaaaaa
 
naona wadau wa timu ya yule mrusi leo mmetia kambi humu! Hongereni kwa ushindi wenu wa jana! Ila mjipange na game ya atm,make nama mnafanana sana style ya kucheza,atakayeruhusu kufungwa goli ndo atakayepoteza game hiyo!That's all abt football,nadhani michezo kama hii kuna kitu BR anajifunza,there must be a plan B,C etc. Unapocheza game kama ya jana! Aione Ntuzu agosti 8.#redordead !
 
Mkuu Asante sn!

Maandalizi ya ATM tumeshayafanya na tunayafanya! Wewe mwenyewe Umeona tulipumzisha wachezaji wengi sn ile Jana kwaajili ya hiyo game!

Bado BR ana mengi sn ya kujifunza na kurekebisha na huenda msimu ujao mtakua Vzr Zaidi ya huu msimu!
 
tomas kalas apigwe midfield
 
ngoja nipendezeshe jukwaa kidogo naona limedorola

Liverpool-v-Chelsea-001.jpg

Liverpool-v-Chelsea-002.jpg

Liverpool-v-Chelsea-013.jpg

Liverpool-v-Chelsea-007.jpg

Liverpool-v-Chelsea-006.jpg
 
Back
Top Bottom