Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Endeleeni na maombi,mbona mmekimbia mapema
lol Belo ila kumbuka sio Kama watu wamekimbia LFC haijacheza Leo japo tulikuwa tunatizama game ila sio game yetu hata wasipokuwepo hapa si kwamba wamekimbia sie tulishaharibu na Chelsea, maybe ungejiuliza rumu yako wenzako wapo wapi? Sababu nyie mlikuwa micheza Leo. Tutakimbia J3 lol.
 
MosDef mr wise vipi ndugu zangu bado mnasubiria msaada wa wengine?? hali ishakuwa mbaya subirini tena miaka 21 kombe linarudi Manchester............
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh Teh Teh Teh

Kwishine kz yenu


Khe Khe khe
 
MosDef mr wise vipi ndugu zangu bado mnasubiria msaada wa wengine?? hali ishakuwa mbaya subirini tena miaka 21 kombe linarudi Manchester............



Mr. Wise na MosDef Huwezi kuwaona hapa! Alikosea BR game ya Chelsea kutaka kumfunga boss wake Wa zamani!
 
Last edited by a moderator:
Haka kauzi Mkuu tulikachangamsha sisi! Lkn Biashara yetu tu ilivyoisha kameanza kupoa na wamekata tamaa!

Cc: Nzi Mbu Belo Mourinho

sasa watashangilia nini wakati wana miaka zaidi ya 20 hawajui EPL title ni nini??? kwanza hii thread yenyewe walianzishiwa na Mbu ambaye ni gooner damu....hii inaonyesha washabiki hawa ni wakuja tu na mvua za msimu kama za msimu huu
MosDef mr wise msinitoe macho ni maoni yangu tu kuchamsha jukwaa lenu limedorola sana.
 
Last edited by a moderator:
Liverpool huwa ina gundu sana na Tilte,

Tumefanya kila kitu ambacho ni kama utamaduni kwa EPL pale team inapoelekea kuchukua UBINGWA...kuwa top of the league at xmas, 11 wins mfululizo..Kuvuka magoli 90..lakin ishaonekana ubingwa kushindikana..

kinachouma zaidi, najua kwamba tutachukua tena seasons kufika this close kama msimu huu!!!

Ilikuwa ni chance kubwa sana!!!

though, I still Believe nafasi bado ipo...some of you najua mlikata tamaa kabisa kipindi kile when we went down kwa goal 0-3 against AC MILAN before HT katka UCL final kule instanbul, but we fought back and won the UCL..

So itabidi tuendelee kuisapoti our club no matter what..coz hata Man city nao kuna kipind walishakata tamaa na ubingwa..but wamerud baada ya sisi kuzingua..so you never know kitu gani kitatokea kwenye hizo game mbili zilizobaki..

Lakin pia, hili suala nimekuwa nikiliongelea kila siku, kuwa, haiwezekan team inakuwa na game 3 mwisho wa league, afu wenzako wamebakiza 2 tu..afu man city hawakuwa na game zozote za UCL..FA itabid walekebishe hii hali..

Kama tukifanikiwa kubeba Kombe, Itakuwa ni faraja sana, asa kwa watu kama kina Gerrard, Agger, Lucas,Skritel, They stayed so loyal to our great club..walikuwepo kutupigania wakat tupo vibaya na mpaka sasa wanatupigania..ningependa sana wapate hii zawadi..na Pia kwa mashabiki wote loyal wa Liverpool ambao walikuwepo na bado wapo na team mpaka sasa..wanadeserve hii zawadi...

INAUMA sana!!!..i feel so so sorry for our captain fantastic, najua atakua bado anaumia sana na ile bahati mbaya ya chelse, lakin hatuwez kumlaumu coz amekuwepo nasi mda wote..Mcmanaman left us, owen, Xabi Alonso, Mascherano, Torres, Riera, Meireles na wengineo, walitukimbia wakati tukiwahitaji the most..lakini our captain alibaki nasi wakat madrid, chelsea, Bayern walimtaka kwa nguvu, but he chose to stay loyal for the club and the funs..Inauma sana!!!
 
Ndo shida ya Liverfooool...wakishaona kimenuka tu hawachangii uzi wao...hawa jamaa sio kabisa.
Tchangie kwani LFC ilicheza Leo? Zipo timu zimecheza Leo ndio hazikuchangia mada zao wao wamebakia watu wametoka mbio wakati wao kwao ndio walikotoka mbio.
 
Mr. Wise na MosDef Huwezi kuwaona hapa! Alikosea BR game ya Chelsea kutaka kumfunga boss wake Wa zamani!
Kama ulivyopotea wewe Juzi na agosti 8 eh ? Hehehe. Tena siku ya game yako ilicheza wenzako game Yao j3 ingekuwa siku ya game tungekuelewa.
 

hakuna alyekimbia hapa!!!

Hakuna mashabiki loyal duniani kama wa Liverpool!!!!

Siyo kama Glory hunters wa Manure, Most y"all are plastic fans..juzi tu hapa m-mempa Giggs shouts za kutosha, then nimepta kwenye mitandao karbia yote, Mna-mponda huyo huyo Giggs!!!

Plastic fans!!
 
Last edited by a moderator:

ukitaka ya Giggs njoo kwenye thread yetu hapa tutatoka off-topic.....najua inauma sana kukosa kombe kama sisi inavyotuuma kulikosa msimu huu...najua nyinyi inauma sana maana ni kama miaka 20 hivi ila bado mna nafasi ombeeni tena City afungwe maanake kwa uwezo wenu pekee hamuwezi kulipata....MNAHITAJI MSAADA WA TIMU NYINGINE.
 

asa kwani Liverpool imecheza leo??..mpaka watu wajazane humu??

We ndo ulitakiwa uwe kwny thread yako, muomboleze msiba wenu na Hao class of 92 sijui..

Sisi game yetu ni J3..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…