Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Naona baada ya kuzichukua hzo poins umekuwa champions kama mlivyotutangazia.
tehtehtehtehtehtehtehteh wataka vyote kwa pupa bhana.
Na naomba uniwekee matokeo ya sundrland, Crystal palace etc.

By the way hiyo avatar haionyeshi kuchanganyikiwa so try to THINK BIG. ndugu.
 
Liverpool have equalled the highest number of goals they've conceded - 49 - in a 38-game Premier League season [level with 1998-99].
 
Ngoja tuwaanalie mabingwa leo wakikipiga..The Trophy Buyer"!!
 
hii kitu ndio inayo tu cost chelsea itachukua muda kupata mfungaji dizaini ya drogba.

Chinga one...kiukweli nyinyi kumpata striker wa type ya drogba cjui itawachukua mda gani lkn ni vigumu sana.Drogba ni habari nyingine ile achana kabisa na yule mtu mkuu
 
pole vijogoo kwa duroo city here we come..

we jamaa huwa unanifurahisha sana! Kule kwako naona ni kama jeshi la mtu mmoja! BTW if u win the league,your team deserves it no matter u'v bought the title! Your team plays an awesome attaking football just like ours! The only difference btn our teams is defence vunerability and experience to some of our players! You deserve to win the league! Well done! Ngoja sisi tuendelee na rebuilding yetu! See u next season.
 
WIN OR LOOSE, nitabaki kuwa liverpool fc fan siku zote.
Liverpool, Liverpool, Liverpool.... ndio kila kitu hapa.
Kuchukua kombe haikuwa ndani ya malengo ya kocha kwa mwaka huu,ila tulipofikia pia si pabaya.Kuchukua kombe ilikuwa kama ziada,ila hata tungepata isingekuwa mbaya pia.
We will never walk Alone.....

"Nlikuwepo":bolt:
 
Well, It looks like BR anakaribia kusign a new contract which will keep him mpaka 2018..

Watuletee na Kocha mzuri wa defense, SC au SH..
 
Haya sasa baada ya jana kubolonga na kudondosha tonge wenyeweeeeeeeeee..

Dua zenu hazitamfikia mwewe.

Eti suarez analia!!!! Alijua atamaliza msimu na trebble trophies??!!!

Hiyo suarez ulivyoitaja, utafikiri unakaa nae jirani yaani!!!!!
 
I really feel sorry for liverpool and especially Suarez
 
Down to the wire!Kombe team isubiri hadi mechi ya mwisho!I like EPL!!
 
Down to the wire!Kombe team isubiri hadi mechi ya mwisho!I like EPL!!

Na hivi ndivyo ligi zinatakiwa kuwa yani msuguano mkali na hekaheka hadi mechi ya mwisho ndo inaamua bingwa. Safi sana liva, man c na chs kwa kuonyesha ushindani mkali msimu huu. Ila kwa upepo ulivyo sasa man c wanahitaji sare ya aina yoyote kuweza kujitwalia mwanamwali bila kujali matokeo ya liva yatakavyokuwa. Wakati huohuo liva wanahitaji ushindi wowote ili kujitwalia mwali lakini kwa sharti kwamba man c apoteze mechi yake na west ham. Kazi ipo hapo.
 
Poleni sn Loserfool. Mtasubiri tena miaka mingapi 24 Au?
 
Poleni sn Loserfool. Mtasubiri tena miaka mingapi 24 Au?

jeradi akikusikia ataangua kilio maana huwa anajifanya yeye ni nyota sana hasa baada ya kutufunga kwa penati.
 
Poleni sn Loserfool. Mtasubiri tena miaka mingapi 24 Au?

Man United mwaka 1994 aliukosa ubingwa kutoka kwa Westham ktk mechi ya mwisho;soma historia kaka!Kocha Pelli kusoma tayari kawa bingwa ni disrespect kwa akina Andy and his CO!

Tuisubirie Super Sunday
 
jeradi akikusikia ataangua kilio maana huwa anajifanya yeye ni nyota sana hasa baada ya kutufunga kwa penati.



Khe Khe Khe Khe

Safari hii anastaafu bila kombe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…