Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama jinsi ilivyo, mchezo wa football ni wa matokeo ya ya team work. That means kila mmoja kwenye timu husika ana jukumu la kuhakikisha kwamba timu yake inapata matokeo mazuri. Kwa kutangulia kusema hayo then hakuna ubishi kwamba BR as well has to take the blame for what happened atr selhurtst park.

Rodges ameipa Liverpool mabadiliko chanya ambayo hakuna aliyetarajia. Lakini ni wazi kwamba hajakomaa and especially when it comes on pushing for the title. Timu imekuwa na momentum nzuri kwenye wiki kadhaa zilizotangulia na kiasi kwamba wanaoipenda na wasioipenda Liverpool walianza kuamini kwamba this might be it!!

As time goes matarajio na kujiaminisha kulizidi na lazima tukubali kwamba hisi ya kuchua kombe baada ya kulikosa kwa miaka 24 ni kitu ambacho hakizuiliki!. BR alikuwa akikwepa lakini lazima hisia hizi zilijenga pressure kwa wachezaji na bechi zima. Moja ya kazi kubwa ambayo ninafikiri kocha angetakiwa kuifanya kwa wakati huo ni kutafuta namna ya kutuliza munkari wa wachezaji uliyokuwa unasababishwa na hamu yao ya kuchukua ubingwa before the lost their focus. Sikuona BR kufanya hivyo na ndiyo maana wakati ubao unasomeka Cry1 Liver3, bado unawaona GJ na flanno wakipanda kwenye wing zote mbili trying to force for the 4th goal.

Wakati man-shit wakitumia hela za kifalme na mafuta nakulimbikiza 2 world class players for each position. Chelshit wananyanyu mikia wakidengua na hela za shuga dady wao aliyewalkusanyia 2 world class players kwa kila namba. Arsenal wana hazina ya average of 1.5 world class player kwa namba. Spurs wakifanya usajili wa kutishia nyau baada ya kumuuza Bale. Manure wakiwa na kikosi cha wacheza 22 waliochukua ubingwa msimu uliopita. Liverpool…? BR alichokifanya ni kumtuliza Lui kisaikolojia nakumjengea mazingira yaliyomfanya kuwa the deadliest striker in Europe. Fundi aliyekuwa bechi la Inter amembadilisha na kuwa one of the leading playmakers (Coutinho). Wale wote waliyokuwa wakisema Sterling siyo level ya Livepool, leo hii wanamsifu, Sturridge alikwisha potea, lakini Br amemfanya kuwa lulu na sasa tegemeo la National team. Fanno ni kisiki cha uhaika kama unabisha kamuulize yahaya ture…ehe nani alisema kwamba Liverpool walinunua galasha kwa Henderson?

Ni vigumu kumlamu manager aliweza kupambana so closely with those who spends twice of what you can. As such, some fans desire to leap at BR's defense is understandable. As well you have to be able to make a push for the final mile before finish
CONGRATULATION TO EVERY ONE FOR THE WONDERFUL SEASON!!
 

Very good and informative analysis mkuu.
 
Mbu,

Unajua sisi wapenzi wa Bwawa la Maini sio 'viredio' kama wapenzi wa timu chovu maarufu tatu. Kwa hiyo tupo na tunaserebuka na kujiandaa na ubingwa hapo May.


Hii timu mpaka kuchuku ubingwa Uingereza tena sijuwi....Wazee sugu a.k.a. Man Utd wanarudi na kitika cha paundi millioni 200 kwa usajili tena wanakuja na kocha mkali in Van Gaal, sikilizia dozi mwakani. Mlipiga kelele sana mwaka huu na hii ndiyo ilikuwa chance yenu kuchukua ubingwa ila mkachemsha kwa sababu tu hamna mazoea kukalia ligi ya Premier kileleni siku za mwishoni. Anyways, come mwakani mtarudia kupigania nafasi yenu mliozoea ya 7 au 6 huku Suarez akileta vurugu kuwa anataka kuhama kwani ataona sasa joto la jiwe na ukweli kuwa Liverpool ni kelele za paka tu.
 
aisee! Kwa hiyo wewe ushaiona season ijayo mkuu? Watz wanafiq sana...wape credit wenzio pale inapostahili,waponde pale inapostahili! Watz tuna midomo sana,ndo mana hata soka letu halikui! See you and your team next season!
 

MKUU nikweli hatuja zoea kugombea chakula nyumbani mezani na watoto Sisi zetu tunasaka NJE na kuleta home.
 
aisee! Kwa hiyo wewe ushaiona season ijayo mkuu? Watz wanafiq sana...wape credit wenzio pale inapostahili,waponde pale inapostahili! Watz tuna midomo sana,ndo mana hata soka letu halikui! See you and your team next season!

Kwel umepagawa kwa taarifa yako man u ndo enzi zake zimeisha ivo jinamilizi mlilowakumbuka sio la msimu mmoja subiri uone
 

Aliyekwambia nani Manure watatoa 200million Pound kwa ajili ya usjili???

Punguzeni kusoma magazeti ya Mwanaspoti jamani!!!!
 

Nasri, Negredo, Javi Garcia, Navas, Natastic, Demochelis, Kolarov, Micah richards, dzeko, Clichy, Milner, Boyata etc..SIYO WORLD CLASS PLAYERS..
 
We're Signing Adam Lallana People!!!

According to skysports and LiverpoolEcho!!!!
 
We're Signing Adam Lallana People!!!

According to skysports and LiverpoolEcho!!!!

i'll be excited when we'll sign Yehven Konoplyanka,he's a terrific winger,huyu lalana binafsi hajanibariki kiviile! Kono ni noma,winger moja ya kushoto ye ball control,speed na skills za hatari! Cant wait to see him playing for us!
 
i'll be excited when we'll sign Yehven Konoplyanka,he's a terrific winger,huyu lalana binafsi hajanibariki kiviile! Kono ni noma,winger moja ya kushoto ye ball control,speed na skills za hatari! Cant wait to see him playing for us!

Konoplyanka anakuja, coz ndo ilikuwa mipango ya BR kumsign this summer, baada ya kusigniwa Mo Salah january, Lakin mipango ya Salah ilivyovurugika ndo wakaenda late kwa kono, ishu ikashindakana, but alikuwa kwenye mipango ya summer..

Lallana, Anaweza akacheza kama CM na pia kama Winger!!!

Ila nadhan tunahitaji sana Kuitengeneza Defense yetu, nmesoma maelezo yake BR alipokuwa anahojiwa na #Talksport kasema, msimu ujao anataka aijenge team ili ipinguze magoal ya kufungwa ugenini..Nadhani ameliona hilo nae.

He should bring Tiago Ilori back, na asign Exprienced CB mmoja na A decent LB...Na DM mmoja!!!
 

to me,kumsain Kono atanikosha roho sana.
 
mkuu MosDef,nadhani BR anataka kumsaini lallana awe cover kwa hendo na allen,Kono atacompete na sterling,coutinho atakuwa na Suso,sturidge na borini,Tello na suarez,gerald anataftiwa CDM plus lucas,sakho(my fantastic CB,BR anapenda kumuita monster) na agger,anatakiwa kumtaftia msaidiz skirtel,LB wa kumsaidia enrique anatakiwa,dogo flanno aende kule RB akamuweke bench GJ,na kipa kama backup kwa mignolet
 
Last edited by a moderator:

Tello ni Average player sana, sidhani kama ataleta impact yoyote kwenye Team!!!

Apart from CB, LB na hao attacking mids, nadhani kama BR atahitaji striker wa ziada, Itabidi alete striker ambaye atatota competition ya kutosha!

Nmeon kicker na BILD (reliable sources) zinasema Liverpool wana Interest na Thomas Muller wa Bayern, So who knows!!!..Mtu kama yule ndo anahitajika zaid kuleta competition kwa Sturridge!!!

Kuhusu keeper, Ni bora wangemchukua Marshall wa Cardif city!!!
 
Last edited by a moderator:
Hayo magazeti uliyoyataja siyajuwi mie nasoma habari directly from Official Manchester United Website

Manchester utd lini wameshawahi kutoa official report kuwa watatoa £200mill za usajili???

Kwenye hiyo official website ya Manure, kuna Column pia inayohusu paper talks na rumours mbali mbali za usajili, ambazo wanazikusanya kutoka kwenye magazeti yote ya siku hiyo ya UK..mirror, metro, The Guardian, The times, etc...Usije ukawa umesoma huko!!,

Siku nyingine usikurupuke!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…