Ndoto...mlishindwa mwaka 2009...Ngoja tuone mwaka huuwakuu tujiandae kabisa kesho kuchukua ubingwa
mancity anapigwa kesho na sis tunasinda
Ndoto...mlishindwa mwaka 2009...Ngoja tuone mwaka huu
Liver msimu ujao watafanya vibaya sana kwasababu mbili champions Ligi itawachosha. Pili liver wamenufaika na points sita dhidi ya utd na radi haipigi Mara mbili!
Liver msimu ujao watafanya vibaya sana kwasababu mbili champions Ligi itawachosha. Pili liver wamenufaika na points sita dhidi ya utd na radi haipigi Mara mbili!
Vipofu watajifanya hawajauelewa huu ujumbe...khahaaaa!!Liver msimu ujao watafanya vibaya sana kwasababu mbili champions Ligi itawachosha. Pili liver wamenufaika na points sita dhidi ya utd na radi haipigi Mara mbili!
Mkuu mi napenda zaidi Liver abebe ndoo manake kashfa na maneno mabaya from opponents yamezidi, rather than Man City lakini ukiangalia uhalisi kwa mechi hizi za mwisho naona kama niatakuwa najitoa akili kusema hili ndoo ni lenu!! Ndo mana naseama ni NDOTO, only 90 mins will decide.una roho mbaya ndugu yangu!
Liver msimu ujao watafanya vibaya sana kwasababu mbili champions Ligi itawachosha. Pili liver wamenufaika na points sita dhidi ya utd na radi haipigi Mara mbili!
Mkuu mi napenda zaidi Liver abebe ndoo manake kashfa na maneno mabaya from opponents yamezidi, rather than Man City lakini ukiangalia uhalisi kwa mechi hizi za mwisho naona kama niatakuwa najitoa akili kusema hili ndoo ni lenu!! Ndo mana naseama ni NDOTO, only 90 mins will decide.
Vipofu watajifanya hawajauelewa huu ujumbe...khahaaaa!!
Likewise...Chelsick itamuuma sana kuwa below Liverpool...yule domo atakuwa kimmmwaaaaaaa!!Ligi sisi tuliimaliza siku ile tulivyofungwa na chelsea! Wining the league will be a miracle kwa sasa kama alivosema babu wenga! Lakini kumaliza juu ya chelsick binafsi ntafarijika sana. Let us meet next season.
Kesho Liverpool wanatawazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa EPL...!
Najua mtadhihaki sana ila hivyo ndivyo itakavyokuwa...!
Itakavyokua nini?
pazi mosdef the magnificant you heard...