Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Loosers mpo? 11 mechi bila kufungwa still mnaukosa ubingwa?
 
acha ungese basi,fanya yako!!
Wachana naye sawa na demu Huyo anaona mwanamke mwenzake anafaidi sasa anataka kutoka huko kwenye matatizo yake 7 ameamuwa kuja kutafuta wanaume huku mumewe wa Kule hamfikiishi sehemu yake. Rudi mtaa wa 7 wa 6 anakushinda utaweza aliyekukojoza home and away? Bisha hujangatwa home and away?
 
ha ha ha ha! Ntuzu unadhani me naangalia mpira kwenye vibanda umiza? Nina Dstv nimeilipia premium package kwa miezi 36 hapa mpaka msimu wa 2015/16 guaranteed,samsung 32'' LED.

Safi sn Mkuu! Lkn mpira mzuri utizame Na wenzako lkn Sio kwenye vibanda vya 500. Unakwenda kwa Bar Nzuri unatulia na washikaji mnaangalia mpira na kupata kinywaji kidogo!

Mi Mkuu kwa game ZA kawaida Na ZA mchana ntatizamia home. Lkn ZILE KUBWA na UEFA lazima nisogee kwa Bar kidogo, vinginevyo nikiwa home ntalala Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa Ntuzu hii ni zawadi yangu kwa mzee.Yeye ni shabiki wa Arsenal,sasa kumuondolea maumivu ndio nimeamua hivyo.

"Nlikuwepo":bolt:

Safi sn Mkuu!

Usisahau Ukiwa Na Dstv lazima uwe Na SMART Tv ndio utapata EPL live bila Chenga! Nakutania Mkuu, Teh Teh Teh Teh!

Mi nasubiri nione miujiza Na vipaji vya WORDL CUP kwa hamu sn Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Me nawashangaa hawa washabiki nongo wa arsenal, man u, chelsea..., hawaoni aibu kutuita sisi looser!! Kwani hii EPL ilikua ni ya timu 2 tu (LFC & MCFC)??!!
Ref; Tizama msimamo kutoka chini, huko ndo inakoanza looser, .....7..4..3..2.
Km nyinyi sio looser ni nani?! Mshindi ni mmoja tu (MCFC).
"The more bottom you are the more looser are".
 
GARCIA
Ni kipaji kilichochukuliwa kucheza timu ya taifa ya under 21 tangu 2009. Sote tunafahamu Spain ambayo ndiyo inaongoza kwenye FIFA rankings imejaa vipaji lukuki. Garcia ni mmoja kati ya wacheza ambo wamo kwenye timu hiyo

NASTASIĆ
Achilia mbali kuchezea timu ya taifa ya nchi yake from youth level lakini Nastasic amekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Serbia (Senior) toka mwaka 2012

DEMICHELIS
Moja ya kiburudisho cha timu ya taifa ya Argentina iliyoshiriki kombe la dunia in South Afrika alikuwa ni Diego Maradona. Maradona ambaye alikuwa akimuani sana Mascherano aliona timu yake haitoshi pasikuwepo Demichellis.

NASRI
Arsenal wameuza wachezaji wengi ila watakumbukwa wachache na mmoja wao ni Samir. Distribution na magoli yake ni classic. Mchango wake kwa Man city kwenye kuchukua Ubingwa wa BPL 2014 umeonekana na mchango wake kwenye France National team umeweza kuwapa qualifications.

CLICHY
Toka alivyokuwa Arsenal nyota yake ilikuwa iking’aa na timu kama Liverpool na Man u walikuwa wakimmezea mate. Ila vutanikuvute akamfikisha kwenye hela za mafuta. Pamoja na kwamba kocha wa nchi yake amekuwa akichukua zaidi wanaocheza ligi ya ndani lakini Clichy is a regular in his National team

KOLAROV
Akiwa na National team ya under 21, aleksandar alitunukiwa zawadi ya uchezaji bora kwa mwaka 2007. Uwepo wake kwenye team wake umekuwa ni mchango mkubwa’ kwa timu yake ya taifa iliyocheza world cup in SA. On top of that Kolav is 2011 serbian footballer of the year

MILNER
Milner has been very effective anapokuwa ametokea benchi. Hii inaonyesha kwamba ni mchezajia anaweza kuusoma mchezo na kutumia madhaifu ya timu pinzani. Ameakuwa akifanya hivyo siyo kwa club yake tu bali hata kwa timu yake taifa.

RICHARDS
Hiki ni kipaji kilichotokana na academy ya Man City na uwezo wake ulifanya kuanza kucheza timu ya taifa kuanzia na ile ya under 21. He got respected na kuchukuliwa akiwa na Giggs na Bellamy, kuchezea timu ya Great Britain kwenye Olympic ya 2012

BOYATA
Mara nyingi makocha wamekuwa wakipenda kuchezesha defenders wenye umri mkubwa’ sababu ya uzoefu. Uzoefu unawafanya defenders kutokufanya makosa yanayooneka kusababishwa na maamuzi ya kitoto. Pamoja na kwamba ana umri mdogo lakini Boyata amekuwa ni mmoja kati ya mabeki tegemeo wa Belgium.

NEGREDO
Discussion za best coaches zinamuweka del Bosque kuwa one of the best. I’m sure he deserve it hasa ukiangalia investments na vipaji vilivyojazana kwenye mpira wa Spain halafu nchi ikakuamini na kukukadhi jahazi. Negredo is one of his choices in his team, since 2010

NAVAS
Wahenga wanasema jitihada haziwezi kuzidi uwezo…tukiakisi kwenye msemo huo kwenye mpira wa miguu then, jibu tunalolipata ni kwamba mazoezi pekee hayatoshi bali na kipaji kinahitajika. Vipaji ni vingi na mmoja kati ya makocha wanokuwa na kazi kubwa kuchagua timu basi del bosque ni mmoja wao. Navas amekuwepo kwenye timu ya spain toka 2009 akifanya mambo

DŽEKO
Kwenye qualifications za FIFA 2010, Dzeko ametupia magoli 9 na kumfanya kuwa mmoja wa wafungaji mwenye magoli mengi tied with rooney. Kwenye qualifications za FIFA 2014 edin amemaliza akiwa second top score. Kwenye historia ya Bosnia anashikilia record ya ufungaji bora kwa nchi yake…need we say more?

Mkuu hao wote uliyowataja wanasifa nyingi, ila moja ya sifa kubwa ni kucheza katika timu zao za taifa. If those players are not world class players then NO ONE IS!
Nasri, Negredo, Javi Garcia, Navas, Natastic, Demochelis, Kolarov, Micah richards, dzeko, Clichy, Milner, Boyata etc..SIYO WORLD CLASS PLAYERS..
 
10365821_567170170070196_7648862740987861237_n.jpg
 
Safi sn Mkuu! Lkn mpira mzuri utizame Na wenzako lkn Sio kwenye vibanda vya 500. Unakwenda kwa Bar Nzuri unatulia na washikaji mnaangalia mpira na kupata kinywaji kidogo!

Mi Mkuu kwa game ZA kawaida Na ZA mchana ntatizamia home. Lkn ZILE KUBWA na UEFA lazima nisogee kwa Bar kidogo, vinginevyo nikiwa home ntalala Mkuu!

Hapa ghetto kwangu nawakusanya wadau wa mpira kibao....tunapeana presha mwanzo mwisho....huwa naenda kuangalia bar kama inacheza Man Utd ili nicheke(hasa msimu huu)
 
GARCIA
Ni kipaji kilichochukuliwa kucheza timu ya taifa ya under 21 tangu 2009. Sote tunafahamu Spain ambayo ndiyo inaongoza kwenye FIFA rankings imejaa vipaji lukuki. Garcia ni mmoja kati ya wacheza ambo wamo kwenye timu hiyo

NASTASIĆ
Achilia mbali kuchezea timu ya taifa ya nchi yake from youth level lakini Nastasic amekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Serbia (Senior) toka mwaka 2012

DEMICHELIS
Moja ya kiburudisho cha timu ya taifa ya Argentina iliyoshiriki kombe la dunia in South Afrika alikuwa ni Diego Maradona. Maradona ambaye alikuwa akimuani sana Mascherano aliona timu yake haitoshi pasikuwepo Demichellis.

NASRI
Arsenal wameuza wachezaji wengi ila watakumbukwa wachache na mmoja wao ni Samir. Distribution na magoli yake ni classic. Mchango wake kwa Man city kwenye kuchukua Ubingwa wa BPL 2014 umeonekana na mchango wake kwenye France National team umeweza kuwapa qualifications.

CLICHY
Toka alivyokuwa Arsenal nyota yake ilikuwa iking’aa na timu kama Liverpool na Man u walikuwa wakimmezea mate. Ila vutanikuvute akamfikisha kwenye hela za mafuta. Pamoja na kwamba kocha wa nchi yake amekuwa akichukua zaidi wanaocheza ligi ya ndani lakini Clichy is a regular in his National team

KOLAROV
Akiwa na National team ya under 21, aleksandar alitunukiwa zawadi ya uchezaji bora kwa mwaka 2007. Uwepo wake kwenye team wake umekuwa ni mchango mkubwa’ kwa timu yake ya taifa iliyocheza world cup in SA. On top of that Kolav is 2011 serbian footballer of the year

MILNER
Milner has been very effective anapokuwa ametokea benchi. Hii inaonyesha kwamba ni mchezajia anaweza kuusoma mchezo na kutumia madhaifu ya timu pinzani. Ameakuwa akifanya hivyo siyo kwa club yake tu bali hata kwa timu yake taifa.

RICHARDS
Hiki ni kipaji kilichotokana na academy ya Man City na uwezo wake ulifanya kuanza kucheza timu ya taifa kuanzia na ile ya under 21. He got respected na kuchukuliwa akiwa na Giggs na Bellamy, kuchezea timu ya Great Britain kwenye Olympic ya 2012

BOYATA
Mara nyingi makocha wamekuwa wakipenda kuchezesha defenders wenye umri mkubwa’ sababu ya uzoefu. Uzoefu unawafanya defenders kutokufanya makosa yanayooneka kusababishwa na maamuzi ya kitoto. Pamoja na kwamba ana umri mdogo lakini Boyata amekuwa ni mmoja kati ya mabeki tegemeo wa Belgium.

NEGREDO
Discussion za best coaches zinamuweka del Bosque kuwa one of the best. I’m sure he deserve it hasa ukiangalia investments na vipaji vilivyojazana kwenye mpira wa Spain halafu nchi ikakuamini na kukukadhi jahazi. Negredo is one of his choices in his team, since 2010

NAVAS
Wahenga wanasema jitihada haziwezi kuzidi uwezo…tukiakisi kwenye msemo huo kwenye mpira wa miguu then, jibu tunalolipata ni kwamba mazoezi pekee hayatoshi bali na kipaji kinahitajika. Vipaji ni vingi na mmoja kati ya makocha wanokuwa na kazi kubwa kuchagua timu basi del bosque ni mmoja wao. Navas amekuwepo kwenye timu ya spain toka 2009 akifanya mambo

DŽEKO
Kwenye qualifications za FIFA 2010, Dzeko ametupia magoli 9 na kumfanya kuwa mmoja wa wafungaji mwenye magoli mengi tied with rooney. Kwenye qualifications za FIFA 2014 edin amemaliza akiwa second top score. Kwenye historia ya Bosnia anashikilia record ya ufungaji bora kwa nchi yake…need we say more?

Mkuu hao wote uliyowataja wanasifa nyingi, ila moja ya sifa kubwa ni kucheza katika timu zao za taifa. If those players are not world class players then NO ONE IS!

kucheza national teams hakukufanyi uwe world Class player!!

Clevarly, Welbeck, Rickie lambert, Benteke, Jo, Fred, Wote hao wanazichezea team zao za taifa!!!

LIVERPOOL: Henderson, GJ, Sakho, Sterling, Skritel, Joe Allen, Sturridge, wote hao wanachezea team za taifa, lakini haiwafanyi wafikie kwenye Pick ya kuitw WORLD CLASS PLAYERS..

kuna tofauti kubwa sana kati ya world class players na Top class players(kulingana na league wanayocheza).

Liverpool zaid ya LS na SG, hatuna any other world class players pale.

Hiyo ndo Fact!!!
 
Reina alikua mzuri kuliko Mignolet.
True Reina amewiva kiakili pia Reina ukirudishia mpira anajuwa kupiga sehemu za pembeni juu na kumfikia mtu au kupiga bila kumsababishia beki au winger Kuwa kwenye tatizo Reina Kuwa kwenye game kwa muda mrefu ni katika Makipa wengi kidogo walioanza muelekeo ila Mignolet ndio kwanza anakuwa kiumri akijifunza kuzidaka cross na kupiga mpira Mignolet atakuwa Mzuri sana De Gea mwanzo kwenye Cross alikuwa anapata tabu na kupiga mpira wakurudishiwa, LFC wanahitaji Michael Vorm Kuwa Bench kuliko Jones. Turudi kwenye TV tusiwasanifu wanaotizama kwenye Vibanda hehehe nao wanapata fur aha kutizama kwenye TV tumbo au TV Chogo tusizitenge tehtehteh Ntuzu hataki kutizama TV Chogo au TV tumbo, TV zengine mpaka uzipige Bao ndio zinawaka.
 
Mkuu naona unaanza kuhama kwenye reli. Kwenye list tunayoiongelea hakuna Liverpool but wachezaji wa Man City. Nimekupa sababu yangu ya kuwaweke kwenye world class players. Na moja wapo ni vipaji vyao kuonekana na kulitumikia taifa since under 21 until now in senior level. Recognized na kusajiliwa with one of the wealthiest club in the world. Wewe unabisha bila kutoa sababu yoyote...serious!? nipe sababu ya kubisha kwamba they are not world class players. Tofauti ya world class players na top class player ni kitu gani?
kucheza national teams hakukufanyi uwe world Class player!!

Clevarly, Welbeck, Rickie lambert, Benteke, Jo, Fred, Wote hao wanazichezea team zao za taifa!!!

LIVERPOOL: Henderson, GJ, Sakho, Sterling, Skritel, Joe Allen, Sturridge, wote hao wanachezea team za taifa, lakini haiwafanyi wafikie kwenye Pick ya kuitw WORLD CLASS PLAYERS..

kuna tofauti kubwa sana kati ya world class players na Top class players(kulingana na league wanayocheza).

Liverpool zaid ya LS na SG, hatuna any other world class players pale.

Hiyo ndo Fact!!!
 
True Reina amewiva kiakili pia Reina ukirudishia mpira anajuwa kupiga sehemu za pembeni juu na kumfikia mtu au kupiga bila kumsababishia beki au winger Kuwa kwenye tatizo Reina Kuwa kwenye game kwa muda mrefu ni katika Makipa wengi kidogo walioanza muelekeo ila Mignolet ndio kwanza anakuwa kiumri akijifunza kuzidaka cross na kupiga mpira Mignolet atakuwa Mzuri sana De Gea mwanzo kwenye Cross alikuwa anapata tabu na kupiga mpira wakurudishiwa, LFC wanahitaji Michael Vorm Kuwa Bench kuliko Jones. Turudi kwenye TV tusiwasanifu wanaotizama kwenye Vibanda hehehe nao wanapata fur aha kutizama kwenye TV tumbo au TV Chogo tusizitenge tehtehteh Ntuzu hataki kutizama TV Chogo au TV tumbo, TV zengine mpaka uzipige Bao ndio zinawaka.

Mkuu Pazi si kwamba tunawasanifu Wanaotizama kwenye vibada Au Ni aina gani ya tv unayotumia! Vibandani Ni kizuri sn tu! Na tv yoyote Ni Nzuri ila nilikua namwambia ndugu Okhondima Kua Ukiwa Na Dstv Ni vema UKAWA Na Smart tv!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom