GARCIA
Ni kipaji kilichochukuliwa kucheza timu ya taifa ya under 21 tangu 2009. Sote tunafahamu Spain ambayo ndiyo inaongoza kwenye FIFA rankings imejaa vipaji lukuki. Garcia ni mmoja kati ya wacheza ambo wamo kwenye timu hiyo
NASTASIĆ
Achilia mbali kuchezea timu ya taifa ya nchi yake from youth level lakini Nastasic amekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Serbia (Senior) toka mwaka 2012
DEMICHELIS
Moja ya kiburudisho cha timu ya taifa ya Argentina iliyoshiriki kombe la dunia in South Afrika alikuwa ni Diego Maradona. Maradona ambaye alikuwa akimuani sana Mascherano aliona timu yake haitoshi pasikuwepo Demichellis.
NASRI
Arsenal wameuza wachezaji wengi ila watakumbukwa wachache na mmoja wao ni Samir. Distribution na magoli yake ni classic. Mchango wake kwa Man city kwenye kuchukua Ubingwa wa BPL 2014 umeonekana na mchango wake kwenye France National team umeweza kuwapa qualifications.
CLICHY
Toka alivyokuwa Arsenal nyota yake ilikuwa ikingaa na timu kama Liverpool na Man u walikuwa wakimmezea mate. Ila vutanikuvute akamfikisha kwenye hela za mafuta. Pamoja na kwamba kocha wa nchi yake amekuwa akichukua zaidi wanaocheza ligi ya ndani lakini Clichy is a regular in his National team
KOLAROV
Akiwa na National team ya under 21, aleksandar alitunukiwa zawadi ya uchezaji bora kwa mwaka 2007. Uwepo wake kwenye team wake umekuwa ni mchango mkubwa kwa timu yake ya taifa iliyocheza world cup in SA. On top of that Kolav is 2011 serbian footballer of the year
MILNER
Milner has been very effective anapokuwa ametokea benchi. Hii inaonyesha kwamba ni mchezajia anaweza kuusoma mchezo na kutumia madhaifu ya timu pinzani. Ameakuwa akifanya hivyo siyo kwa club yake tu bali hata kwa timu yake taifa.
RICHARDS
Hiki ni kipaji kilichotokana na academy ya Man City na uwezo wake ulifanya kuanza kucheza timu ya taifa kuanzia na ile ya under 21. He got respected na kuchukuliwa akiwa na Giggs na Bellamy, kuchezea timu ya Great Britain kwenye Olympic ya 2012
BOYATA
Mara nyingi makocha wamekuwa wakipenda kuchezesha defenders wenye umri mkubwa sababu ya uzoefu. Uzoefu unawafanya defenders kutokufanya makosa yanayooneka kusababishwa na maamuzi ya kitoto. Pamoja na kwamba ana umri mdogo lakini Boyata amekuwa ni mmoja kati ya mabeki tegemeo wa Belgium.
NEGREDO
Discussion za best coaches zinamuweka del Bosque kuwa one of the best. Im sure he deserve it hasa ukiangalia investments na vipaji vilivyojazana kwenye mpira wa Spain halafu nchi ikakuamini na kukukadhi jahazi. Negredo is one of his choices in his team, since 2010
NAVAS
Wahenga wanasema jitihada haziwezi kuzidi uwezo
tukiakisi kwenye msemo huo kwenye mpira wa miguu then, jibu tunalolipata ni kwamba mazoezi pekee hayatoshi bali na kipaji kinahitajika. Vipaji ni vingi na mmoja kati ya makocha wanokuwa na kazi kubwa kuchagua timu basi del bosque ni mmoja wao. Navas amekuwepo kwenye timu ya spain toka 2009 akifanya mambo
DEKO
Kwenye qualifications za FIFA 2010, Dzeko ametupia magoli 9 na kumfanya kuwa mmoja wa wafungaji mwenye magoli mengi tied with rooney. Kwenye qualifications za FIFA 2014 edin amemaliza akiwa second top score. Kwenye historia ya Bosnia anashikilia record ya ufungaji bora kwa nchi yake
need we say more?
Mkuu hao wote uliyowataja wanasifa nyingi, ila moja ya sifa kubwa ni kucheza katika timu zao za taifa. If those players are not world class players then NO ONE IS!
Nasri, Negredo, Javi Garcia, Navas, Natastic, Demochelis, Kolarov, Micah richards, dzeko, Clichy, Milner, Boyata etc..SIYO WORLD CLASS PLAYERS..