Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama ningeonana na Pennant ningemuuliza maswali machache

  • where is he now? real MAdrid?
  • How many goals has he scored since leaving liverpool
  • why didnt he even hold a place at portsmouth?
  • how about a litre of black label before the match?
He may be right, but i dont think he is the best person to say that!!!

He just happens to fail at Arses, Liverpool, Portmouth and now in spain.. Just a wide ass drunkard!!
 
team yetu inaskitisha sana kiasi ambacho inanifanya niwe mzito sana kuangalia game zetu, ila chakufanya yankees waondoke maana hawatoi hela ya kutosha kuleta quality players anfield

Acheni kulialia na yankees! Wametoa pesa mmekwenda kununua kilema Aquillani....! Mnashindwa kuona kwamba anayechagua wachezaji ni Benitez na sio yankees! Liverpool wamespend pesa nyingi kuliko the rest of big four this season. Rafa ana rekodi ya kununua wachezaji wengi kuliko kocha yoyote kwa kipindi alichokaa Liverpool, na wengi wao amewauza baada ya kushindwa kuonyesha viwango....hii inathibitisha kwamba jamaa ni mbahatishaji....kwanini asinunue wachezaji wachache wenye quality nzuri kwa pesa hiyo anayonunulia hao wengi wabovu?
 
Hivi ameshakaa benchi mda gani vile?? na Joe Cole alikuwa nje mda gani? hivi Owen HearGraveyard yupo wapi??

Wewe peasant bana!! maadam mmetupata sasa hivi tutakoma... We ngoja tuamke, kelele zangu humu mpaka mtaomba annual ban!!

Gademu!!
 
Nafikiri kuna tofauti kubwa sana kati ya mchezaji kuumia akichezea timu yake (Joe Cole na Owen Hargreaves) na timu kununua mchezaji ambaye ni majeruhi tayari na mwenye rekodi ya kuwa majeruhi kwa muda mrefu!
 
Kwani Aquilani hakuumia akiwa anaichezea timu yake?
 
Nafikiri kuna tofauti kubwa sana kati ya mchezaji kuumia akichezea timu yake (Joe Cole na Owen Hargreaves) na timu kununua mchezaji ambaye ni majeruhi tayari na mwenye rekodi ya kuwa majeruhi kwa muda mrefu!

Halafu sasa na wewe nae!!! Yaani mtu ana miaka 22 tayari ushasema ni majeruhi wa mda mrefu!!???

Kha, kweli la kuvunda halina ubani, Albeto could start the season but as soon as they noted Liverpool approach, they opearated him expecting to repel Liverpool [of course he had a recurring problem but operation was one of the measure kufukuza wekundu]. Alas, Liverpool continued their pursue... remember Alberto has only been out for 2.5 months since joining liverpool if and missed 8 league games!!

does this make sense? yes... lets wait after 2 weeks then we will talk more about him!!

I would rather play aquilani 27 games than Lucas 35 games!!!
 
Jaza basi na mishahara mazee... tatizo sio kununua ML la 3670pounds, tatizo matunzo mtani!!

Heheh mtani mwaka huu mtaomba hadi mishahara ya wahudumu wa kwenye viwanja.

Msimu uliopita ilikuwa kama ifuatavyo;
1. Chelsea 172 million pounds.
2. Manchester United 121 million pounds.
3. Arsenal 101 million pounds.
4. Liverpool 90 million pounds.
 
Thanks Mazee, its now clear, payroll is continuous but buying is one off!!!! Thanks MAzee

This is good one, so the kop's payroll is too high huh??

Lets also talk about recouped money now

I love JF and her members

Gademu!!!!
 
Hehehe ngoja nikaangalie kwenye website ya Deloitte ila kwa haraka haraka Manchester United msimu uliopita waliingiza 250 million pounds kati ya hizo 90 million zilitokana na prize money.
 
naona watani mnatambiana sio.kweli kumekucha mpaka tufike jumapili tutasikia mengi.

Huyu MTM wakifungwa uwa anasingizia internet ya Vodacom iliingiliwa na virusi lol mwenzao Invisible uwa anakuja na 'Major Maintenence'. QM na FMES ndio wamesepa kabisa ila wakiifunga Man UTD watarudi.
 
matarajio ni liver kupigwa mabao tu ... best results kwao itakuwa droo..
 
Huyu MTM wakifungwa uwa anasingizia internet ya Vodacom iliingiliwa na virusi lol mwenzao Invisible uwa anakuja na 'Major Maintenence'. QM na FMES ndio wamesepa kabisa ila wakiifunga Man UTD watarudi.

Hahaaaaaaaaa duh!!! Mr. Bean leo umeniweza!!! We ngoja kesho tukichapwa tu, nakauguza ka-mobile partner hadi jumanneπŸ˜›πŸ˜›

To be honest, i dont expect much from tomorrow's game!!! ila tukishinda mtanikoma... gademu!!!!
 
we did it last season we did it without gerrard and torres,2-1, riera was instrumental during that match, tomorrow will be yossi, johnson runing the show.....u gona tell me, WE'LL NEVER WALK ALONE red rules/ By the way we gonna have a beach ball tmrw.
 
Hahaaaaaaaaa duh!!! Mr. Bean leo umeniweza!!! We ngoja kesho tukichapwa tu, nakauguza ka-mobile partner hadi jumanneπŸ˜›πŸ˜›

To be honest, i dont expect much from tomorrow's game!!! ila tukishinda mtanikoma... gademu!!!!

...kwani Manure wanatabirika? mtawafunga tu...πŸ™‚
 
Hivi ameshakaa benchi mda gani vile?? na Joe Cole alikuwa nje mda gani? hivi Owen HearGraveyard yupo wapi??

Gademu!!
Taratibu mkubwa tatizo sio kumsajili Alonso tatizo ni kushuka viwango kwa Mascherano na Caragher,pia kutokuwa na wachezaji wengi sisi pamoja na huyo HearGraveyard kuumia kina Anderson,Fletcher,Carick ,Gibson na wazee wazima kina Scholes na Giggs
 
Mkubwa last season magoli yote 2 tuliwapa la kwanza Brown alijifunga na la 2 Giggs alimwachia Masch akapiga krosi msimu huu hakuna tena tuanataka revenge
 
Taratibu mkubwa tatizo sio kumsajili Alonso tatizo ni kushuka viwango kwa Mascherano na Caragher,pia kutokuwa na wachezaji wengi sisi pamoja na huyo HearGraveyard kuumia kina Anderson,Fletcher,Carick ,Gibson na wazee wazima kina Scholes na Giggs

...Mascherano (kama Ronaldo msimu uliopita) ana 'donge' lake (kwanini ) summer hakuuzwa Barcelona,... sijui kama January itampitia salama...
 
Liverpool fans plan protest march

Gillett and Hicks each have a 50% stake in the club

By Simon Austin

Security will be heightened at Anfield on Sunday as fans plan a march to protest against George Gillett and Tom Hicks' ownership of the club.The Spirit of Shankly group hope thousands of fans will turn out ahead of the match against Manchester United.​

"There is a lot of anger and people want their feelings known - Hicks and Gillett are not welcome at the club," spokesman James McKenna told BBC Sport.​

"We hope a couple of thousand fans will turn out for the protest."

The march will start outside the Liverpool Supporters' Club on Lower Breck Road and will finish outside the Kop stand.​

The Spirit of Shankly group believes about 4,000 fans turned out for a similar protest in September 2008, before Liverpool beat Manchester United 2-1 at Anfield.​

The group is angry about the level of debt that the club has taken on since Hicks and Gillett took over in March 2007, while the team's on-field fortunes have also taken a slide in recent weeks.​

The American duo are expected to attend Sunday's match against the league leaders, in which Liverpool will attempt to halt a run of four straight defeats.​

Liverpool are eighth in the Premier League table, with four defeats in their nine games so far, while they are also facing an uphill battle to qualify from their group in the Champions League.​

Injuries to key duo Steven Gerrard and Fernando Torres have weakened Liverpool's hopes of ending their long wait for a domestic title.​

Gillett attended Tuesday's Champions League defeat by Lyon, where a large banner on the Kop claimed fans had been lied to by the owners.

Hicks and Gillett have admitted they are keen to attract new investment to the club, with a key aide of Saudi Arabian Prince Faisal telling BBC Sport that a bid for a large stake in the club is a possibility.​

Gillett also watched Italian midfielder Alberto Aquilani - a Β£20m purchase during the summer who has been battling to recover from an ankle injury - make his club debut for the reserves at Tranmere the following night.​

Mwalimu... Hata wakiandamana, haina mashiko kwasababu wao sio owners wa timu... Maka wanataka impact wasusie kuangalia liverpool!! They need to learn from MIke Ashley [Nowcastle got worse when they started this shit!!}

Wachange wanunue timu kama wanaweza, mkono mtupu haulambwi
 
Aaarrrrrrreeee yyyyouuuuu rrreeeadddddyyyyyy!!??????

Liverpool 3 manure 1

huhuuu

Two red cards
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…