hahaha! MTN, lol, bado masaa machache, tutakiane kheri. Hali ilivyo mpaka sasa, ushindi Man U 60% na Liverpool 10% Draw 30%.
Hahaha, wasikusikie!Liverpool 2-0 Manure
Liverpool 2-0 Manure
Nikiwa kama mpenzi wa liverpool ningependa kuona pia comments za benitez zinawekwa... otherwise itakuwa sawa tu thread ya manure kule
Hebu fanya hima invisible ili tupate uhondo sawa
Ha!ha!ha!ha!ha!.....mzee wa bwawa la maini...pressure na shukaaaaaaa.....inapandaaaaaaa.....! Mwambieni huyo Benitez aache kuwafanya wachezaji wachache miungu watu bana.......!
We mzee wa pond una bahati tu sikuoni hapa ningekuchapa konde la kushoto.. presha ya nani hiyoπ
Anyway Liverpool will dominate the game and win comfortably; this is only if wataweza simama pamoja dk 20 za mwanzo
Tegemea changes kwenye holding midfield and center half, Torres aweza asianza mazee
Tumuone Owen leo
Hahaha,
Kuna jamaa yangu mmoja hapa ni Man U anaonekana mgonjwa kabisa, sijui wasiwasi wa mechi au vp?
.%r@#$!*&^%\\////,;>... Lione Kwanza!!!ππ
Advantage ya Liverpool ni kuwa nyumbani... Zaidi, jamaa wa Man U wanaamini wakivaa nyekundu wanashinda na leo hakuna nyekundu hahahahaSio huyo tu; jamaa zangu walio Man U karibu wote wanasema leo pressure zinapanda na kushuka.
Wanaomba sn Mungu awashushie muujiza washinde, ila wanakubali liva huwa anawapa shida.
All in all; futbol ni 90 minutes + dkk za mtu kubebwa!!!!
Nawaombea Man U wamegwe japo kimoja π
Advantage ya Liverpool ni kuwa nyumbani... Zaidi, jamaa wa Man U wanaamini wakivaa nyekundu wanashinda na leo hakuna nyekundu hahahaha