mkuu jamaa anapoint,hata kama hawakuja wote ila anawezekana alishawishika kuja sababu mshikaji alikuepo si unajua wachezaji wa kibrazil wasivopenda kucheza epl.Ha! Yani kotinyo aondoke kisa lucas anaondoka? Kwani walikuja pamoja?
I definitely agree with you... But a bigger statement (aprt from panic buys) should be improving contracts za key players especially wale ambao bado wako chini sana kimshaharanimeisoma The Magnificent na nimeielewa walichomanisha haina lazima kupoteza pesa nyingi na kuleta majina makubwa mtu anaweza jina Kuwa kubwa kwa kuanzia hapo LFC akija ila Mie naona japo mpaka sasa Pesa ya Suarez haijatumiwa hata akija Lovren na Moren ni pesa ambazo ilishawekwa ku spend kwao, LFC wangetafuta players pesa kidogo na wakaja Kuwa star LFC! Lazar kwa umri wake jamaa naamini atakuwa star LFC! Kwa mpira tunaocheza sasa hivi kumbuka Aquilani alikuwa flop sababu ya style haikuenda na yeye ingekuwa style Kama ya sasa LFC basi Aquilani angewika na LFC wasije kupoteza pesa kwa Benzema sio wakuja LFC bora Reus au hata Bony naamini Bony angetoka AC Milan watu wangesema Huyu ndio wa ku sign ila sababu anatokea Swansea watu hawatizami Bony ni mkali vipi jamaa mkali.
Markovic post this kwenye page yake ya facebook
ujio wa huyu dogo unamaanisha na hadithi yetu kwa shaqiri ikaishia hapo!
sina uhakika sana maana inasemekana BR anataka ku-sign in another 6 players ingawa hajagusia ni akina nani...!
Deal done
ahahhaha!!!
Leo ITK's kibao walisema Anoucement ya Markivic itakuwa saa 5 asubuhi..
Lakini mpaka sahiv bila bila...
ITK's wa LFC ni tabu saana!!
Welcome markovic... Young prospect
Reds complete Markovic deal - Liverpool FC
I bet you will have to change your hairstyle, you like like Albert Aquilani