nimeisoma The Magnificent na nimeielewa walichomanisha haina lazima kupoteza pesa nyingi na kuleta majina makubwa mtu anaweza jina Kuwa kubwa kwa kuanzia hapo LFC akija ila Mie naona japo mpaka sasa Pesa ya Suarez haijatumiwa hata akija Lovren na Moren ni pesa ambazo ilishawekwa ku spend kwao, LFC wangetafuta players pesa kidogo na wakaja Kuwa star LFC! Lazar kwa umri wake jamaa naamini atakuwa star LFC! Kwa mpira tunaocheza sasa hivi kumbuka Aquilani alikuwa flop sababu ya style haikuenda na yeye ingekuwa style Kama ya sasa LFC basi Aquilani angewika na LFC wasije kupoteza pesa kwa Benzema sio wakuja LFC bora Reus au hata Bony naamini Bony angetoka AC Milan watu wangesema Huyu ndio wa ku sign ila sababu anatokea Swansea watu hawatizami Bony ni mkali vipi jamaa mkali.