Karibuni Turin mchukue wachezaji mnaowataka.Conte kajiuzulu,we are finished.
My best player ther hujamuweka,anaitwa Joao Carlos Texeira! Safi sana huyu dogo,hebu muangalie kwenye game yetu na Brondly leo saa moja jioni,utaniambia.
If texeira could match hendo's work rate and commitment...atakuwa balaa!
Liverfool aka liverpoor
kuna kitu unakitafuta,naona unawashwa sana
anacheza position sawa na ya Coutinho,dogo anajua sana...mtafute youtube umcheki
Ibe ni mzuri. Tatizo lake ni poor finishing,na selfishness,huwa namfananisha tabia yake na ndugu yake sturridge,kama mapacha vile
Shukrani mkuu pamoja sana!
aisee nimesoma sehemu jamaa wamemuua markovic mbaya, wansema ana goli sita na assist 0 in wakati bebe ana goli 12 na assisst 6
ni kweli?
ni kweli mkuu,ila hatujamsajili Markovic kwa ajili ya kuja kufunga magoli,kwetu magoli sio tatizo kuyapata! After all sio striker,ni kiungo mshambuliaji na bdo mdogo sana! Haters wapo siku zote mkuu.