Karibuni Turin mchukue wachezaji mnaowataka.Conte kajiuzulu,we are finished.
Ni habari ambayo imenishangaza sana
..."If someone thinks I am happy just winning the league, they are mistaken. We must continue to build" hayo ni maneno ya Antonio Conte. Ni maneno yenye kuonyesha kwamba huyu ni mtu wa mikakati.
Angalia wakati anachukua timu mwaka 2011 na jinsi alivyoiinua mpaka kuchukua ubingwa!
Hivi ni ishu ya sanchez, vidal na pogba ama kuna jambo lingine?
Pole kwa wana-Juve...
