Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kipindi cha pili kinaanza with a lot of changes...

within two minutes of play, kazi nzuri ya jordan Irbe inamaliziwa vizuri na christopher peterson na kuwaandikia Liverpool goli la kusawazisha

Brondby 1, Liverpool 1
 
Dakika ya 90

Hassani anaichambua beki line ya Liverpool na kucheka na nyavu.

Brondby 2, Liverpool 1
 
Pre season huwa haziniumizi kichwa zinaanza kuniumiza kichwa Pre season games zile 5 au 3 za mwisho ndio zinakuwa muhimu wanacheza wachezaji ambao manager anaona hawa ndio kutakuwa na uhai ila hizi za mwanzo hata tupigwe ngapi hizi wanapewa madogo waonyeshe kweli wanataka Kuwepo kwenye timu? Zaidi ya hapo Lucas ameniuzi asipoangalia atauzwa ila Jordan Ibe Mzuri ajirekebishe umaliziaji na kuna Dogo Beki alivaa 51 Kama sikosei katulia kati zaidi ya hapo wengi hawajacheza uzuri Yule Kipa Jones hafai Kuwa hata number 5 Keeper!
 
Jamani naskia Barcelona wameanza choko choko kwa Branaghan...afu hajasafiri kabisa na team kwenda Denmark..na he's not injured at all..ni Dunn tu ndo alikuwa reported kuwa injured....

Isije ikawa Ayre kishafanya yake..manake mtu huwez tu kusafiri mpaka spain eti tu kukamilisha loan deal ya Aspas!!!!!!!!!

Ntaumia sana kama wakimuaffload Branaghan...

Afu Barca nao watuache bhana!!!
 
hawa madogo leo wanacheza hovyo! Lucas ni kama hayupo vile

ndio wamemaliza likizo, it will take time to recover... be patient

Ila watu kama Suso, Lucas, Kelly nadhani safari yao inakaribia, decision making zilikua zinawamaliza sana...
 

labda kaomba mwenyewe

kuhusu trip ya Spain, Ayre alitaka kutumia Aspas kama bait, jamaa wakauma chambo wakatema ndoano na kukomaa
 
ndio wamemaliza likizo, it will take time to recover... be patient

Ila watu kama Suso, Lucas, Kelly nadhani safari yao inakaribia, decision making zilikua zinawamaliza sana...

bado nina imani na Suso,lakini Lucas na Borini hapana!
 
bado nina imani na Suso,lakini Lucas na Borini hapana!

Suso is like thoe great players who just cant get it right with a certain team... With Coutinho, Sterling, Lazar, Ibe, lallana, Texeira playing that good... Suso ana hali ngumu sana kuwa na impact

In addition, mpira wa Suso sio wa kukaba, na BR wants everyone to defend so atapata tabu sana kuwa trusted

If i was Suso, ningetoka mwenyewe
 

Suso ana wakati mgumu sana kupata namba kwa sasa,that's a truth,huwezi kumuweka benchi mtu kama Markovic,Sterling,Coutinho ili umchezeshe Suso,tungempa mkataba afu tumtoe kwa mkopo ligi ya england palepale kwenye vitimu kama Sunderland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…