Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
agreed,. sasa kiungo mshambuliaji bila assists inakuaje??
Channel gani wanarusha???
Dakika ya 23 Brondby waandika bao la kwanza.
Goli zuri likifungwa na Cristian Norgaad
Half time
Brondby 1, Liverpool 0
Goli la suso lile!
Suso ametu-cost ila umeona mambo ya jordon?
Looks like Assaidi is off as well...
£7m syo mbaya..stoke city are willing to pay kiasi hicho..
hawa madogo leo wanacheza hovyo! Lucas ni kama hayupo vile
Suso ametu-cost ila umeona mambo ya jordon?
Jamani naskia Barcelona wameanza choko choko kwa Branaghan...afu hajasafiri kabisa na team kwenda Denmark..na he's not injured at all..ni Dunn tu ndo alikuwa reported kuwa injured....
Isije ikawa Ayre kishafanya yake..manake mtu huwez tu kusafiri mpaka spain eti tu kukamilisha loan deal ya Aspas!!!!!!!!!
Ntaumia sana kama wakimuaffload Branaghan...
Afu Barca nao watuache bhana!!!
ndio wamemaliza likizo, it will take time to recover... be patient
Ila watu kama Suso, Lucas, Kelly nadhani safari yao inakaribia, decision making zilikua zinawamaliza sana...
bado nina imani na Suso,lakini Lucas na Borini hapana!
Suso is like thoe great players who just cant get it right with a certain team... With Coutinho, Sterling, Lazar, Ibe, lallana, Texeira playing that good... Suso ana hali ngumu sana kuwa na impact
In addition, mpira wa Suso sio wa kukaba, na BR wants everyone to defend so atapata tabu sana kuwa trusted
If i was Suso, ningetoka mwenyewe