Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nilimwona leo..sema LFC ile mechi kama wamelazimishwa kucheza vile..Jordan Ibe ndo alikuwa anajaribu..mbeleni, Jordan Ibe anaweza akawa kama Sterling vile.

Ibe yupo poa,tatizo lake ni poor finishing,hata hvyo dog6 Teixeira jana hakucheza vizuri
 
Ibe yupo poa,tatizo lake ni poor finishing,hata hvyo dog6 Teixeira jana hakucheza vizuri
yeah..nadhani Teixeira na kina Suso, Ibe watakuwa squad players tu..ni wazuri wa mbeleni kama baada ya msimu hivi. sasa hivi wategemee carling cup. Nadhani Lucas ndo kwaheri hiyo..jana kacheza vibaya sana.

Tunahitaji defensive MD mwenye nguvu...tupo soft sana MD. Can mwenyewe anacheza ile smart defensive md..si ile ya nguvu.
 
Pedro tayari Baca wamemtoa kwa mkopo club moja ya ureno,Tello siyo Pedro.lakini ikumbukwe Baca wamekuwa wagumu kuiuzia liver mchezaji

Alexandre Pato baada ya kuondoka AC Milan karudi kwao Brazil!Huyu angetusadia sana maana ana miaka 24 tu na anajua sana kutupia kwenye kamba!!
 

Alexandre Pato baada ya kuondoka AC Milan karudi kwao Brazil!Huyu angetusadia sana maana ana miaka 24 tu na anajua sana kutupia kwenye kamba!!
 
Alexandre Pato baada ya kuondoka AC Milan karudi kwao Brazil!Huyu angetusadia sana maana ana miaka 24 tu na anajua sana kutupia kwenye kamba!!

nimesoma goal.com,wanasema LFC waliweka 12.5 ikapigwa chni,saivi wanajipanga kuweka 15 with add ons kwa Bony!
 
it was a shame kusema ukweli... Skertel alitegesha kiuno akatoa... LOL

It was embarrasing
 
Brondby 2-1 Liverpool

Baada ya kipindi cha majira ya joto na usajili najua wana Liverpool tulikuwa na hamu ya kuiona timu yetu. Tofauti na vipindi vingine vya mapumziko na usajili, wakati huu wapenda mpira tulipata raha nyingine ya world cup…but to be honest, BPL is more exciting!

Napenda nigusie matukio machache ninayoyakumbuka na mchango wangu kidogo

Kipindi Cha Kwanza
Timu ikiwa na first eleven mmoja wa msimu uliyopita…well, Agger has been third choice nyuma ya skrtel na Sakho, Lucas behind SG..so that leave us with coutinho.
The game was slow na timu ya kwanza kuleta kashkash was brondby through free kick…well Jones was shaky while collecting the ball. Sijakaa vizuri nikaona Ilori anachechemea ohooo…I hope is not something serious. Akaingia dogo sterwart ambaye amesajiliwa kutoka totte. Dogo anapiga kichwa vyongo, suso anato assist Norgaard anatungua la kwanza kwa brondby. Ukiacha coutinho aliejitahi kufurukuta the rest need to work hard to impress!!!

Kipindi Cha Pili
Mabadiliko timu nzima kasoro Jones (GP). Kwa kipindi hiki BR ameamua kuwa na first choice wawili from the team he used on last season…skrtel na Flano. Liverpool sasa inaoneka kuwa na uhai kidogo. You can now see pass and movements. Wisdom is tough but need time to mature. The pair of skrtel and Jones seems to work well than Agger-sterwart. The mid(Coady-Allen) works well than (Rossite-Lucas). Ndani ya dk 5 Ibe anaonyesha dhamira ya alichokisema (…Ningependa kufuata nyayo za sterling). Kazi nzuri on the left wing inatengeneza assist kwa Peterson na kuisawazishia Liverpool. Huyo dogo (Peterson) naona atakuja kuwa forward mzuri. Ana umbo zuri, nguvu na hana papara. He is doing good job on positioning himself as well.
Jamaa wazuri kwenye fouls…ngoma mbili zinagonga mtambaa wa panya! Juhudi za brondby zinazaa matunda dk 90+.

Comments
Liverpool wameonekana wazito tofauti na timu pinzani labda ni kwasababu miguu/mwili havichanganya kutokana na kuwa mapumziko. Sijasikia chochote kuhusiana na kutokucheza kwa Enrique ila Can hakucheza sababu aliumia ankle mazoezini.

I hope tutaona vitu tofauti kwenye mechi ya Saturday. Apart from losing, I have seen promising talents from Ibe, Jones, Adorjan and Peterson
 
Vipi wakuu nachikia mmechezea kichapo .... .... ..... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



Wakati huo huo Sure Boy mliyekataa kutuuzia amepokelewa
kwa shangwe na nderemo kule Uhispaniola.
 
Xabi Alonso kaambiwa ni "surplus of requirement"pale Madrid!Kaambiwa ikija offer nzuri atauzwa!
Alonso hawezi tusaidia jamani au?
 
Xabi Alonso kaambiwa ni "surplus of requirement"pale Madrid!Kaambiwa ikija offer nzuri atauzwa!
Alonso hawezi tusaidia jamani au?

Hahahaha!!!

Xabi hawez kuachiwa hata kidogo pale madrid...

|Modric. Alonso. Kroos.|
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…