Mario Baloteli is the best option available wakuu.
Nidhamu ya baloteli iko chini sana hawawezi kupatana na BR, mbwembwe zake tu humukosesha magoli ya wazi kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mario Baloteli is the best option available wakuu.
Nilimwona leo..sema LFC ile mechi kama wamelazimishwa kucheza vile..Jordan Ibe ndo alikuwa anajaribu..mbeleni, Jordan Ibe anaweza akawa kama Sterling vile.
yeah..nadhani Teixeira na kina Suso, Ibe watakuwa squad players tu..ni wazuri wa mbeleni kama baada ya msimu hivi. sasa hivi wategemee carling cup. Nadhani Lucas ndo kwaheri hiyo..jana kacheza vibaya sana.Ibe yupo poa,tatizo lake ni poor finishing,hata hvyo dog6 Teixeira jana hakucheza vizuri
Pedro tayari Baca wamemtoa kwa mkopo club moja ya ureno,Tello siyo Pedro.lakini ikumbukwe Baca wamekuwa wagumu kuiuzia liver mchezaji
yeah..nadhani Teixeira na kina Suso, Ibe watakuwa squad players tu..ni wazuri wa mbeleni kama baada ya msimu hivi. sasa hivi wategemee carling cup. Nadhani Lucas ndo kwaheri hiyo..jana kacheza vibaya sana.
Tunahitaji defensive MD mwenye nguvu...tupo soft sana MD. Can mwenyewe anacheza ile smart defensive md..si ile ya nguvu.
Ibe yupo poa,tatizo lake ni poor finishing,hata hvyo dog6 Teixeira jana hakucheza vizuri
Alexandre Pato baada ya kuondoka AC Milan karudi kwao Brazil!Huyu angetusadia sana maana ana miaka 24 tu na anajua sana kutupia kwenye kamba!!
Alexandre Pato huyu bado umri mdogo na anaujua!!
Sijawahi kumshuhudia uwanjani,huwa namchezesha kwenye Game zangu tu za FIFA kwenye pc,kule ni fundi sana...
it was a shame kusema ukweli... Skertel alitegesha kiuno akatoa... LOLMkuu, Gerrard ameshazeeka sasa na yeye kubaki kucheza week in, week out kutatupozesha points za bure. Last season alicheza vizuri lakini kumbuka ni henderson ndo alikuwa anafanya kazi yote, mimi naona kuliko kusubiri hadi a-retire, tuanze kum-phase out this season. Can ni noma..jamaa anacheza defensive MD with discipline and hard-work.
Liverpool defence ndo inanipa worry sana sana..hata mechi ya jana, smh..jamaa aliyetufunga goli la pili kapiga chenga wote..sema najua re-enforcements zitakuja.
Ahahahahahahahaaaa...The Magnificent...ahahahaha. Hiyo gemu yako ni version gani..ahahahaha
Nini kinaendelea kwa Oussama Assaidi jamani????
Xabi Alonso kaambiwa ni "surplus of requirement"pale Madrid!Kaambiwa ikija offer nzuri atauzwa!
Alonso hawezi tusaidia jamani au?