Ok pamoja mkuu nimekusoma!
Gemu saa ngapu wakuu????
Preston 0-0 liverpool 10'
Sasa Blac kid leo weww ndo shuhuda maana wadau wote wapo kimya!!!!
Keep on updating us....
Liverpool fc wameshamaliza zoezi la Remmy.
Hivi ana umri gani huyo jamaa?????
Loic remy ana miaka 27 yule!
Emre Can kashaumia kutolewa ila dk 20 kafanya ya maana mengi kuliko Lucas Humu uwanjani nasikia Borini Kagoma kuondoka kwenda Sunderland!