Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ben Smith wa BBC abahatishi best kuliko Pearce wa Echo, Liverpool Echo Pearce anapata sababu anakuwa karibu sana na Club ila Ben Smith BBC wanahakikisha mpaka habari ziwe na ukweli ndio anaandika kwa hili kuhusu Lovren nishafurahi Huyo ndio katika wachezaji wote ndio nilitaka awepo na ndio muhimu.
 
bad news...
Liverpool have confirmed that midfielder Adam Lallana is set to miss the start of the new season after suffering a knee injury in training -Adam Lallana to miss start of season - Liverpool FC
10501997_10152710261012573_3809636759154412017_n.jpg
 
Confirmed kaka tumempata!Sasa bado left back tu tuanze ligi
Bring Moreno pls
 
£25m WASTED..

I am sad and shocked mtu kama wewe unaweza kusema hivyo... Lallana was not given a six weeks contract, he has a multiyear contracts and he is not a chef or a cleaner, he plays soccer... so injuries are part of the game

When ronaldo de Lima got injure and stayed out for two years, a few would say what you just said about Adam!!!

This negative energy doesnt help the club

Adam is in a pool and is expected to swiftly work his way into the first eleven

it may hamper his opportunity to impress, but saying 25M wasted is too much to bear

at least for a true LFC supporter and a an official member!!
 
bad news...
Liverpool have confirmed that midfielder Adam Lallana is set to miss the start of the new season after suffering a knee injury in training -Adam Lallana to miss start of season - Liverpool FC
10501997_10152710261012573_3809636759154412017_n.jpg

it is sad zaidi kwake kuliko kwa Liverpool, atakosa nafasi to impress, especially in the big games vs Citeh and arses; he is a boy for big games

But we are going to play not less than 50 games and we need him strong especially in december and january , the time when Suarez proved that his ban was beneficial to us
 
I am sad and shocked mtu kama wewe unaweza kusema hivyo... Lallana was not given a six weeks contract, he has a multiyear contracts and he is not a chef or a cleaner, he plays soccer... so injuries are part of the game

When ronaldo de Lima got injure and stayed out for two years, a few would say what you just said about Adam!!!

This negative energy doesnt help the club

Adam is in a pool and is expected to swiftly work his way into the first eleven

it may hamper his opportunity to impress, but saying 25M wasted is too much to bear

at least for a true LFC supporter and a an official member!!

Well said mzazi,hopeful amekusikia na kukuelewa.
 
Naona Agger ndo kama anaondoka hvyo,i can't see him playing ahead of Lovren,lakini mimi ningekuwa BR,ningefanya hv,Gerald namtoa kbs kwenye 1st eleven yangu,halafu lovren,nambadilisha namba,anakuwa CDM,halafu Agger anaendelea kuwa LCB palepale,au mnaonaje wakuu? Nikimuangalia lovren uchezaji wake ni kama G8 tu pale nyuma,anajua kupiga pasi zenye macho,ni mzuri kwenda mbele,na anajua kutakle zaidi ya SG,fine enough ni defensive minded player.
 
Football is all about predictions..

fhats why huwa kuna kitu kinaitwa gamble katika usajili..

Kwa Lallana kuna mawili, kwanza atakaa nje kwa week 6, pili atazikosa pre-season za msingi kabla EPL haijaanza..

Pili, we alk know, ni wachezaji wachache sana wakitoka majeruhi wanarudi na kasi ile ile (Coutinho alipotea sana last season alvyotoka majeruhi)..yaani hapa tunaangalia ni muda gani itamchukua kusettle, ukizingatia ni mchezaji mpya kwenye kikosi..

Aquilan, alishindwa kusettle na alikuwa ni mchezaji mzuri sana, kilichomfanya ashindwe kusettle ni majeruhi ya mwanzo wa msimu..

Injuries are inevitable in football, lakin as fans, lazima tuangalia na Upande wa PILI ambao unazungumzia madhara ya Injuries (hasa kwa mchezaji mpya)..
 
Naona Agger ndo kama anaondoka hvyo,i can't see him playing ahead of Lovren,lakini mimi ningekuwa BR,ningefanya hv,Gerald namtoa kbs kwenye 1st eleven yangu,halafu lovren,nambadilisha namba,anakuwa CDM,halafu Agger anaendelea kuwa LCB palepale,au mnaonaje wakuu? Nikimuangalia lovren uchezaji wake ni kama G8 tu pale nyuma,anajua kupiga pasi zenye macho,ni mzuri kwenda mbele,na anajua kutakle zaidi ya SG,fine enough ni defensive minded player.

hahhahahah!!!!

We ndo unaongea hayo????

Yaan kumdrop SG kwenye 1st eleven???..

Yanayomtokea Agger sahiv, ndo yaliyomtokea Jamie Callagher kipindi kile Agger anarise..Agger hawez kuwa namba moja forever, team inasonga mbele na umri unasonga mbele vile vile..

Agger, hawez kuondoka LFC (akiamua), Na BR pia hataki kuona Agger anaondoka, na ndo maana anafanya kila kitu kumplease Agger,mfano tu ni kukubali request ya Agger ya Liverpool kucheza game ya Kirafiki na Brondby (team alyokulia), this shows how much BR and LFC respects him..

As a legend, he knows the team needs new people to step up, Kilichokuwa kinamuuma, ni yeye kuwekwa nje katika pair ya watu kama Sakho & skritel (narudia tena, Sakho is not and will never be an upgrade to Agger mpaka anakufa), Na kama Huamini utaona msimu huu pair ya Nyuma pale itakuwa ni LOVREN na SKRITEL..forget that Sakho (na nashangaa husemi kwanini BR anamleta Lovren huku akijua ni LCB, ambapo ndo eneo la sakho pia), RCB tunao watatu Tu, Coates, Skritel na Kelly..

BR anaelewa umuhimu wa legends kwenye team, ndo maana alimchukua Toure, ukiachana na Kazi yake uwanjani, Kazi yake nyingine ilikuwa ni kuongeza hamasa na encouragement katka vyumba vya kubadilishia nguo, Thats what legends do, na ndo maana kamchukua Lambert sahiv..so una Lambert, SG na Agger, Lucas katika vyumba vya kubadilishia nguo..wote wanajua ups and downs za LFC, wote ni fans wa LFC lazima wakupe hamasa.

Na u can wonder, Kwann BR, anasupport comments za BORINI kuhusu kubaki LFC na kupigania Namba, despite na deal yake kuwa agreed na kina Ayre..
 
Coutinho 22
Sterling 19
Markovic 20
Can 20
Flanagan 21
Sturridge 24
Ibe 18
Suso 20
Lovren 24
Martin kelly 24
Javier (about to sign) 20
Joe Allen 23
Henderson 24
Sebastian Coates 23
Moreno (if will sign) 20
Sakho 24

THEN..
Lallana 26
Remy 27
Lucas 27
Enrique 28
Mignolet 26

kwa age range ya LFC players, Dont you think you need SG, AGGER and LAMBERT katika changing rooms?
 
Liverpool new boy Adam Lallana looks set to miss the start of the Premier League season after suffering a knee injury in training.

The 26-year-old midfielder moved to Anfield from Southampton earlier this month for £25million and had been expected to make his debut in a friendly against Olympiakos on Sunday in Chicago.

But a Friday statement on the Liverpool website read: “Lallana sustained a knock to his lateral collateral ligament during a session at the Reds' Harvard University training base in Boston.

“Lallana has been assessed by Liverpool's medical staff and does not require surgery.
 
Hata Mie napenda kuona mabeki zaidi na Agger auzwe na pia napenda ije Middle moja kali SG aanze kupumzika Bench ili mpaka ikifikia mazoea haitajiki tena kila kumchezesha kumpa kichwa ambacho anajiumiza tu na mwisho ataumia hatuna mtu wa nafasi zaidi yake lazima aje mtu zaidi yake atizame football bench muda umefika.
 
Back
Top Bottom