Naona Agger ndo kama anaondoka hvyo,i can't see him playing ahead of Lovren,lakini mimi ningekuwa BR,ningefanya hv,Gerald namtoa kbs kwenye 1st eleven yangu,halafu lovren,nambadilisha namba,anakuwa CDM,halafu Agger anaendelea kuwa LCB palepale,au mnaonaje wakuu? Nikimuangalia lovren uchezaji wake ni kama G8 tu pale nyuma,anajua kupiga pasi zenye macho,ni mzuri kwenda mbele,na anajua kutakle zaidi ya SG,fine enough ni defensive minded player.
hahhahahah!!!!
We ndo unaongea hayo????
Yaan kumdrop SG kwenye 1st eleven???..
Yanayomtokea Agger sahiv, ndo yaliyomtokea Jamie Callagher kipindi kile Agger anarise..Agger hawez kuwa namba moja forever, team inasonga mbele na umri unasonga mbele vile vile..
Agger, hawez kuondoka LFC (akiamua), Na BR pia hataki kuona Agger anaondoka, na ndo maana anafanya kila kitu kumplease Agger,mfano tu ni kukubali request ya Agger ya Liverpool kucheza game ya Kirafiki na Brondby (team alyokulia), this shows how much BR and LFC respects him..
As a legend, he knows the team needs new people to step up, Kilichokuwa kinamuuma, ni yeye kuwekwa nje katika pair ya watu kama Sakho & skritel (narudia tena, Sakho is not and will never be an upgrade to Agger mpaka anakufa), Na kama Huamini utaona msimu huu pair ya Nyuma pale itakuwa ni LOVREN na SKRITEL..forget that Sakho (na nashangaa husemi kwanini BR anamleta Lovren huku akijua ni LCB, ambapo ndo eneo la sakho pia), RCB tunao watatu Tu, Coates, Skritel na Kelly..
BR anaelewa umuhimu wa legends kwenye team, ndo maana alimchukua Toure, ukiachana na Kazi yake uwanjani, Kazi yake nyingine ilikuwa ni kuongeza hamasa na encouragement katka vyumba vya kubadilishia nguo, Thats what legends do, na ndo maana kamchukua Lambert sahiv..so una Lambert, SG na Agger, Lucas katika vyumba vya kubadilishia nguo..wote wanajua ups and downs za LFC, wote ni fans wa LFC lazima wakupe hamasa.
Na u can wonder, Kwann BR, anasupport comments za BORINI kuhusu kubaki LFC na kupigania Namba, despite na deal yake kuwa agreed na kina Ayre..