Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Reus hawezi kuja LFC,hii ni kati ya deals ambazo zinahtaji muujiza kufanyika.
 
Nilisikia muda kidogo kuhusu Rudy wawalioshuka daraja lkn sijaona lolote hadi sasa!

Keeper anahitajika maana Pepe hawzi kukaa team moja na BR

Kipa muhimu sana

Ingawa reina hawawezani ila nahisi wamemrudisha kwa sababu ya uzoefu wa uefa

I'm looking forward for something special, I still believe kwa BR
 
Reus hawezi kuja LFC,hii ni kati ya deals ambazo zinahtaji muujiza kufanyika.

Mkuu najua kwanini umesema haiwezekani na itakua miujiza Reus kutua LFC. Hata mimi before nilikua kwenye gari moja na wewe ktk kufikiria kua Reus hawezi kutua LFC.

Lakini baada ya kuchunguza kwa muda kuhusu hii issue sasa naweza kidogo kufikiria Reus anaweza kutua Anfield:

Sababu zangu ni hizi:-

1: Hawezi kwenda Barca kwasababu ya Messi, Neymar, Suarez na Pedro.

2: Hawezi kwenda R.Madrid kwasababu hawezi kumuaccomadate Reus baada ya kumsajili Kroos na James Rodriguez.

3: B. Munich has a space to fill him in but I suspect hawamuitaji Reus kwa sasa maana wanataka kumfanya Mario Gotze the main man alongside Muller, Rouben na Ribery.

4: Hawezi kwenda Machenza UTD, hawapo Champion ligi.

As a Liverpool Fan,bado naweka matumaini yangu kwa huyu dogo Reus kutua LFC... Now my feeling is...... Reus is the most likely target for LFC and Arsenal this summer.

hapo sasa ni kushindana kwa mshahara na ada ya uhamisho tu kazi kwa BR.

YNWA
 
ndugu yangu Tores,sometimes we have to be honest! BR na recent LFC have no convising power when it comes to W.class players! Angekuwepo Benitez,ambaye ni w.class manager,hii ishu ya Reus ingewezekana kabisa! Tuache kujidanganya,tulipotea kwenye game kwa muda mrefu,kitu cha msingi ni kuanza upya tu,BR anatakiwa kuchukua vikombe,awe recognized na watu wa mpira ili sasa hata world class players watamani kufanya nae kazi.nakuacha na swali,tangu BR aje LFC 2012,ni mchezaji gani world class aliyemleta? Kama hakuna,una uhakika upi sasa ataweza kwa Reus? Eid mubarak!
 
Last edited by a moderator:
Me na-countdown time tu nione nahisi hili la reus mwisho wa siku itakuwa disappointed kwetu fans

Halafu kuna taarifa yoyote kuhusu kuleta kipa mwingine? Maana hili wengi kama hawalioni hivi

Nasikia anasubiri January.
 
Themagnificent hili suala la reus naungana na wewe, hofu yangu tunawekwa attention na rumors tu huku tukiona BR kama hana nguvu ya msukumo kwa club don't catch me wrong sio BR anayezingua Bali cabinet yetu haiko serious
 
Last edited by a moderator:
Themagnificent hili suala la reus naungana na wewe, hofu yangu tunawekwa attention na rumors tu huku tukiona BR kama hana nguvu ya msukumo kwa club don't catch me wrong sio BR anayezingua Bali cabinet yetu haiko serious

Pia policy yetu ya usajili ni mbovu!
 
Last edited by a moderator:
Jamani kuhusu Reus,Vidal,Benzema ni ndoto za Social Media na watu tuwachane nazo hao wachezaji Kuja LFC sasa hivi kwetu ndoto tu za kutamani tusahau tufikirie wengine ila sio kwenda kutafuta Waengereza au wachezaji Kila saa timu za chini hapa EPL! Kamati ikae chini vizuri January iliopita hatukununua so sasa hivi tununue mabeki na Middle mmoja Origi abaki tunachezea pesa sivyo Rogers awe mwangalifu watu wanaisubiri siti yake. Ila Reus,sijui Vidal sijui Falcao tukipelekeshana break jamani nasie hatuwezi kwenda Colombia au South America tukavumbua kipaji kikubwa mpaka mapesa yapoteee? Au tatizo Permit?
 

Origi ndo keshatolewa kwa mkopo tayari.
 
Swali muhimu sana hili.

Ofcourse,ili tuanze kujipa moyo! Kumbuka reliable sources ni BBC(Ben Smith),Liv.Echo(James Pearce),Skysports sources(The most reliable source),The times atleast(Tony Barret).nyingine zote zilizobaki ni udaku udaku tu,pure speculations!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…