Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Poa mkuu, hiyo itakua ni kabla ya vijana wa Frank Lampawize kukutoa hapo kileleni mapema kesho
[emoji23][emoji23] sijawahi kujua km ukishinda derby unapata point5!!!
Yan leo nachukua point3, naongoz league kwa point 5 dhidi ya Chelsea, alafu ashinde kesho aje juu[emoji23][emoji1787][emoji2957]
 
Neco Williams analaumiwa lakini tukumbuke kuwa hakujipanga bali amepangwa.

Kuhusu uwezo wake mimi sina shaka nao! Lakini bado ni mdogo sana kupewa viatu vya EPL, hata hivyo ndiyo anapata uzoefu
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] hii game tutatoboa kweli kwa mchezo huu? Kiukwel hatupo vzur leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…