Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 442
Ofcourse,ili tuanze kujipa moyo! Kumbuka reliable sources ni BBC(Ben Smith),Liv.Echo(James Pearce),Skysports sources(The most reliable source),The times atleast(Tony Barret).nyingine zote zilizobaki ni udaku udaku tu,pure speculations!
Pole,The magnificent na Tores. Source zipo nyingi sana ,siyo tu unazofikili,zingine source ni wachezaji wenyewe,rafiki wa wachezaji,agent wao.Liverpool tayari wemekubalia club na mchezaji
Nasikita umetaja source Za UK tu.
Mzee wa Rubisi,umesema deal lishakubaliwa,ndo mana nikakuuliza sources? Haiwezekani mpk deal linakubaliwa hta source moja hapo juu isiandike,sio kweli brother.
Wote nyumba moja kama tunabisha,kwa ufupi Jana mchezaji alifanya mazungumuzo na kocha wa Bayen awakukubaliana kupewa namba kikosi cha kwanza,ndo maaan Liverpool wamemuoffer atapewa mkataba wa 4yrs
Wote nyumba moja kama tunabisha,kwa ufupi Jana mchezaji alifanya mazungumuzo na kocha wa Bayen awakukubaliana kupewa namba kikosi cha kwanza,ndo maaan Liverpool wamemuoffer atapewa mkataba wa 4yrs
Liverpool-news now inakupa habari kila dakika mkuu juu ya Liverpool
Yeah,ile site inakusanya hbr zozote zinazoihusu LFC kutoka vyanzo mbalimbali kila baada ya dk.5,binafsi ndo naitumia kupata taarifa kwa haraka!
Kaka I trust your contribution ktk kupata habari za liverpool.ila you have to improve the sources of your info otherwise no body gonna trust u. YNWALiverpool-news now inakupa habari kila dakika mkuu juu ya Liverpool
Hehehehe mnataka nisiwe nakuja kuchungulia manake hata hii room ni source of info mwisho nitakuja kusikia tu swap Conor wincham wa Sunderland na Borini ndio nitajifukia Kabisa....
This is too low....Joe Campbell Arsenal hana future na angetusaidia sana Liverpool!Campbell ana uzoefu wa CL na ana kasi mno zaidi ya hawa akina Origi
Hehehehe mnataka nisiwe nakuja kuchungulia manake hata hii room ni source of info mwisho nitakuja kusikia tu swap Conor wincham wa Sunderland na Borini ndio nitajifukia Kabisa....