Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pole,The magnificent na Tores. Source zipo nyingi sana ,siyo tu unazofikili,zingine source ni wachezaji wenyewe,rafiki wa wachezaji,agent wao.Liverpool tayari wemekubalia club na mchezaji
 
Ofcourse,ili tuanze kujipa moyo! Kumbuka reliable sources ni BBC(Ben Smith),Liv.Echo(James Pearce),Skysports sources(The most reliable source),The times atleast(Tony Barret).nyingine zote zilizobaki ni udaku udaku tu,pure speculations!

Ukishakua mlevi wa soccer basi source ulizozitaja hapo juu ndio utaliyayi on it.otherwise u will be wrong.na utachekwa na wanaojua.
 
Kwa mfano,link ya Marco Reus kuja Liverpool inatoka na ndani ya wachezaji wa liverpool,Je mnajua alifanikisha kupatikana CAN? SASA kapewa tena jukumu Hilo kulikamilisha likikwama ni habari mbaya.Pili kumbukeni UK Liverpool ndo kwenye scouting nzuri vilabu vingine vinavizia scout ya liver
 
Pole,The magnificent na Tores. Source zipo nyingi sana ,siyo tu unazofikili,zingine source ni wachezaji wenyewe,rafiki wa wachezaji,agent wao.Liverpool tayari wemekubalia club na mchezaji

Mzee wa Rubisi,umesema deal lishakubaliwa,ndo mana nikakuuliza sources? Haiwezekani mpk deal linakubaliwa hta source moja hapo juu isiandike,sio kweli brother.
 
Mzee wa Rubisi,umesema deal lishakubaliwa,ndo mana nikakuuliza sources? Haiwezekani mpk deal linakubaliwa hta source moja hapo juu isiandike,sio kweli brother.

Wote nyumba moja kama tunabisha,kwa ufupi Jana mchezaji alifanya mazungumuzo na kocha wa Bayen awakukubaliana kupewa namba kikosi cha kwanza,ndo maaan Liverpool wamemuoffer atapewa mkataba wa 4yrs
 
Wote nyumba moja kama tunabisha,kwa ufupi Jana mchezaji alifanya mazungumuzo na kocha wa Bayen awakukubaliana kupewa namba kikosi cha kwanza,ndo maaan Liverpool wamemuoffer atapewa mkataba wa 4yrs

Sawa,hata mimi napenda sana dogo aje LFC,tunachobishania hapa ni sources tu ndugu yangu,BTW tupo pamoja brother.
 
Wote nyumba moja kama tunabisha,kwa ufupi Jana mchezaji alifanya mazungumuzo na kocha wa Bayen awakukubaliana kupewa namba kikosi cha kwanza,ndo maaan Liverpool wamemuoffer atapewa mkataba wa 4yrs

Sawa,hata mimi napenda sana dogo aje LFC,tunachobishania hapa ni sources tu ndugu yangu,BTW tupo pamoja brother.#redOrDead
 
Joe Campbell Arsenal hana future na angetusaidia sana Liverpool!Campbell ana uzoefu wa CL na ana kasi mno zaidi ya hawa akina Origi
 
Malafyale naomba usiidharau LIVERPOOL kiasi hicho..

Thats too Much Aisee.
Hehehehe mnataka nisiwe nakuja kuchungulia manake hata hii room ni source of info mwisho nitakuja kusikia tu swap Conor wincham wa Sunderland na Borini ndio nitajifukia Kabisa....
 
Malafyale naomba usiidharau LIVERPOOL kiasi hicho..

Thats too Much Aisee.

Tuende kwa statistics wakuu!
Remy kamshinda nn Joe Campell?
Origi anamshinda nn Joe Campell?
Kwa maoni yangu pale wapya mashine ni Can na Markovic hawa 2 hawamfikii Campbell kwa lolote lile!
CC Janjaweed
CC Pazi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom