Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mr MosDef kama Wajua source, Je unaweza uzipitishia member humu,aliyepewa jukumu la kufanikisha usajiri wa Reus,??? Kutoka Liverpool.lakini yote mema katka kupashana habari.
 
Mr MosDef kama Wajua source, Je unaweza uzipitishia member humu,aliyepewa jukumu la kufanikisha usajiri wa Reus,??? Kutoka Liverpool.lakini yote mema katka kupashana habari.

Hahahahah!!!!

Aiseee!!!

So we're signing Reus???
 
JAMBO MOJA KUU NILILOJIFUNZA JANA USIKU KTK MECHI YETU DHIDI YA MAN CITY!

Sebastian Coates ni bonge la centre half......na akiendelea kudiplay kiwango alichonyesha jana usiku!!! atakua bado na Anfield future!!!! Jana alikaza sana .....nilichogundua kua Coates ana Nguvu sana na he is not slow anymore!!!!....anachotakiwa ni kuongeza umakini kidogo katika box lake.

Ushauri wangu Kwa BR ni kua Aendelee kumpa nafasi huyu Coates na asifikilie kumkopesha sehemu wala kumuuza.....maana is very Energetic, Fast and he is very good in Air.

YNWA
 

I like this,well said brother! Waungwana huwa wanajichanganya hapahapa! Pure unreliable sources.
 
jirani Mosdef salama?

Agosti 8 naongea hapa..salama huko kaskazini?

agost 8,sisi sio majirani zako!(labda kama ni ujirani wa thread) Majirani zako ni Arsenal,Spurs etc...sisi hatujawahi kuwa na mahusiano yeyote na chelsea,ila siku hz za karibuni mmekuwa wapinzani wetu wakubwa kwenye ligi! Sisi levo yetu pale epl ni Manure tu,na ndo mpinzani wetu namba moja England,pia Everton ndo mtani wetu wa jadi,kwa nnavyokufahamu ,utakuja na hadithi ndefu sana hapa,BTW i really respect what you are recently duin there,at stamford bridge.
 
Lovren alishindwa kwenda states, kwasababu ya Visa problems..kabak UK anafanya mazoezi na under21..

Markovic nadhan ni kuavoid risks aisee..ndo maana hata Can kacheza dk25 tu..
Emre ni jembe jingine in the making

But SG is slipping fast aisee, jana he messed up again
 
hahahahaaaaa...

majimaji ya songea wanajisahau kabisa kwamba embe tunda la msimu
 

kama ujuavyo mimi sipendi uongo: kwa manufaa ya wanajamvi wote humu. LFC imewahi kumpa kazi Steve Clarke kapteni wa zamani wa Chelsea fc.
2. LFC imewahi kuuza wachezaji wake kadha wa kadha CHELSEA FC, mfano: Raul Meireles, Fernando Torres.
3.LFC imewahi kununua wachezaji waliocheza CHELSEA FC, Dan Sturridge, Joe Cole.
4.LFC imewahi kupewa mchezaji wa CHELSEA FC imtumie kama mchezaji mkopo, Moses.

Sasa katika haya yote bado mkuu Magnificent huyaoni kuwa ni mahusiano? Unaposema hakuna mahusiano yoyote unamaanisha nini?

Liverpool Fc inashea mtaa na Everton, sawa tu na Fulham inavyoshea mtaa na Chelsea Fc.
Mahusiano yetu yalifikia kilele tarehe 27.April.2014 tuliposababisha mkose ubingwa.:A S-eek:

 

nilijua tu
 
i was not impressed by Glen, Gerro, Kelly, Enrique, and Allen Sterling is beyond any kops dream, he will surpass all expectations, we need to contract him now and tight him

where were Ibe, Markovic and Lovren?

Mkuu mechi hiyo sikuangalia vipi kolo toure ka-improve nini make galasa letu hilo sijaona ukilikosoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…