Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tupo very close kuwachukua full backs Maquin na Moreno!Kiongozi Ayre kafika Spain jana kwa mazungumzo zaidi ingawaje Seville wanamtaka Moreno kwanza acheze Super Cup na Madrid August 20 ndiyo wamruhusu!

Tuzidi kusali/kuswali na kuendelea kuomba!
 
changamoto, sajilini mabeki wa kati wenye uwezo wamsaidie COATES..waliopo wamechoka wanahitaji changamoto mpya. mlikaribia kuupata ubingwa lakini mabeki wamewaangusha.
pia mnahitaji mtu wa kuwasaidia kunoa idara ya ulinzi. ..ni hayo tu.

Beki wa kati atakuwa Lovren na Sakho pair moja na pair ingine ni Agger na Skrtel!Kijana Coates bado hajaiva tutambakiza mwaka huu acheze FA na CL mechi isiyo na madhara!

Vipi nasikia Lukaku kabwatuka kuwa sifa ya kwanza kuichezea Chelsea lzm uwe mzee?Ni kweli hayo kuwa uzee ndiyo sifa namba moja kucheza Chelsea?

Uchambuzi wako kwa hilo pls?
 
Nadhani anatania, kwa sababu anapaswa kushukuru kwa sababu CHELSEA FC wamemruhusu aende Everton tena kwa hela nzuri sana.

mbona madogo kibao wanapata namba, Oscar, Hazard, Wilian, Schurrle etc? Mbona kwenye timu ya taifa[ubelgiji] aliwekwa benchi na Origi hakupiga kelele? au anadhani pale Chelsea Fc ni shamba la bibi? Ni kawaida ya mtu akifanikiwa kubwatuka.

kocha JM alisema hivi: "He wanted to play for CHELSEA FC but he wanted to be clearly the first choice striker, which in a club of our dimension; it is very difficult to promise a player."

Lkn unajua Curtois hajapata jezi hadi sasa?Je unajua vijana wote akina Bertrand wanaondoka?Cech atamuweka benchi Curtois ku prove alichosema Lukaku the same to Terry kumuondoa Kalas na huyu Kurt Zouma ataishia bench tu
 
Kuna kitu ambacho washabiki wa mpira lazima tutambue..mpira unabadilika haraka sana. mchezo wa mpira kwa sasa matokeo ya muda mfupi ni muhimu kuliko 'project za muda mrefu'..ndo maana kama CHELSEA FC inataka kuwa bingwa haiwezi kuridhika kuwa na beki kama Ryan Betrand,..au kiungo kama Gael Kakuta lazima waende kwa mkopo.

Pia hatuwezi kumtegemea Lukaku kutupatia ubingwa..kwa sababu Everton haikuwa hata kwenye top 4 na yeye alikuwa mshambuliaji nambari 1 wa Everton.

Kuhusu 'competion' ya makipa wetu kocha JM amesema hivi: 'I know Mark Schwerzer is a very good goalkeeper, very stable, a group man, completely ready to be our second goalkeeper, like he was last season when we needed him....But to have Petr Cech and Thibaut Courtois together in the same squad is a good problem for me."

Mkuu ndo maana hata nyinyi lazima mwendelee kuwa na Steven Gerrard hata kama mnasajili vijana. timu yetu CFC ina wachezaji madogo kama kina Andreas Christensen na Nathan Ake ambao hata miaka 20 hawajafika ambao wameongezwa kenye kikosi cha kwanza. na pia ina mafadha kama JT na Drogba kwa ajili ya ku-balance team..LUKAKU mwache aende.akacheze Everton..

Lkn unajua Curtois hajapata jezi hadi sasa?Je unajua vijana wote akina Bertrand wanaondoka?Cech atamuweka benchi Curtois ku prove alichosema Lukaku the same to Terry kumuondoa Kalas na huyu Kurt Zouma ataishia bench tu
 
Beki wa kati atakuwa Lovren na Sakho pair moja na pair ingine ni Agger na Skrtel!Kijana Coates bado hajaiva tutambakiza mwaka huu acheze FA na CL mechi isiyo na madhara!

Vipi nasikia Lukaku kabwatuka kuwa sifa ya kwanza kuichezea Chelsea lzm uwe mzee?Ni kweli hayo kuwa uzee ndiyo sifa namba moja kucheza Chelsea?

Uchambuzi wako kwa hilo pls?

Pair me nadhani ni Lovren-Skirtel,Sakho-Toure,Agger-Coates
 
According to Sky sources,Liv.echo,(which are the most reliable sources) we are finalising two spanish half backs deals,A.Moreno and J.Manguilo.naona hatimae tutampata Moreno! Tutakuwa na kikosi imara sana msimu huu...i wish na L.Suarez angekuwepo! Tungetisha sana.
 
starting eleven,22.Mignolet,38.Flannagan,37.Skirtel,6.Lovren,18.Moreno,8.Gerald(hanishawishi bt ndo hvyo),14.Hendo,23.Can,20.Lallana,31.Sterling,15.Sturridge
 
Subs: 1.Jones,50.Markovic,9.Lambert,17.Sakho,30.Suso,10.Coutinho,2.Johnson,3.Enrique,21.Lucas,24.Allen,33.Ibe,5.Agger,4.Toure
 
My Photo of the Day!!!....Nafikiri ujumbe ulifika!!! Reus.jpg
 
You just benched Coutinho there Son!!!

Coutinho is the brain of our team-BR. Mkuu,kwenye midfield naona kumejaa sana hadi kujua nani aanze inakuwa shida! Nasubiri kuona jinsi BR atakavyowapanga Lallana,Coutinho,Sterling wote katika 1st eleven.
 
1.Simon Mignolet/Reina/?? 2.Flannagan/manguilo??/Clyne?? 3.Enrique/Moreno??/Rojo??/ 4.Skertel/Lovren 5.Lovren/Sakho/Agger 6.Can/Lucas/SG 7.Raheem/Lallana/markovic 8.Henderson/StevenGerrad/Can 9.Sturidge/Bony??/???/Lambert 10.coutinho/Lallana/Raheem 11.Sturidge/???? Wataongezwa anajuwa Rogers kwenye ??? Clyne ningependa kumuona zaidi ila Southampton tumemalizana Hizo ?? Kwamba bado hakuna uhakika na sijui nani atakuwepo.
 
Moreno is almost a LFC player
 
Nimeanza kuwasoma,wenzenu wakipost mnauliza source,nakuanza kuwazodoa Leo hii post zenu source zile zile Moreno,VIP Reus??
 
Back
Top Bottom