Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba nikuulize kitu..MD yuko Spain Je media zahuko zikilipoti habari Za wachezaji hao wawili siyo sahihi?
MD yuko Spain Je media zahuko zikilipoti habari Za wachezaji hao wawili siyo sahihi?
naomba nikuulize kitu..
habari kuhusu Ayre kuwepo Spain, umezipata lini???
Duuu hii kali labda niulize Nina kaenda kufanikisha usajili huwo wa wachezaji wawili huko spain ?
I wish Gerro avunjike mguu aache vijana wachape kazi
nmekuuliza tu kistaarabu..
kuwa habari za kuwa Ayre yupo Spain ulianza kuziona lini..na zilikuwa exculsive kwako muda wa saa ngapi??
kuna kitu nataka nikuelekeze!!!
kistaarabu tu..
Duuu hii kali labda niulize Nina kaenda kufanikisha usajili huwo wa wachezaji wawili huko spain ?
Katika Football World, kuna watu wanaitwa ITK (ITKs) kirefu chake ni "in the know"..watu hawa siyo journos kabisa, ila wanakuwa na inside infos za Club, wanazipata kutoka kwa inside members au watu walioko karibu zaidi na club ambao wanajua nini kinaendelea katika club..na mara nyingi huwa wanakuwa wa kwanza kubreak infos za usajili kabla ya journos..(japokuwa mara chache sana wanakuwa right, ndo maana huwa siwaamini.kabisa)..LFC tunao kama Kina Jay Riley, adam philips, Karlton, Joseph Musker, Graeme kelly, Kuna jamaa anajiita "money sponge" na wengine kibao sana (na am telling you hakuna team yenye ITK wengi kama LFC)..na wote hao niliowataja wamejazana twitter na they have a lot of followers.
Katika hao, the most reliable ITK ambaye anakubalika na LFC fans twitter ni Jay Riley (he broke the ishuz of Suarez from Ajax, downing, Aquilan, Costa, Willian, Markovic, Dossena, Lovren etc etc)..
Sasa tarehe 13 july akatweet kuwa LFC wanamtaka REUS( he twitted it, when nobody expected this kinda thing)..all LFC fans across the world tulikuwa tunawaongelea kina Markovic and (Di maria)..ambapo kesho yake yaan 14july news about Markovic kusajiliwa na Liverpool zilikuwa confrimed na clubs zote mbili..sasa baada ya hiyo tweet kuhusu reus, twitter brokedown (majority wanamwamini sana jamaa)..
And you know how twitter and transfers work, ishu ikaErupt, Everybody (LFC fan) was tweeting about REUS..mpaka leo hii si kwenye twitter au instagram, fans are still sending the word "REUS" kila wakiamka au wakijisikia..later that nught akina MUDDOCK wa Mirror wakaibuka na habar kuwa LFC tunawataka Reus, vidal and Pogba..ishu zikaErupt zaid..Metro came in and used the same source, websites uchwara zote zikaadopt hii ishu, na ukifatilia chazo kilikuwa ni ile tweet ya JAY RILEY (@Jay_78_) you can follow him on twitter..
NOW, watu wakawa wanasubiria BARRET, PEARCE, SMITH, au hata kina Neil jones wa Echo waje kuthibitisha..
BUT, tarehe 14july Barret came out with the statement from the Club..he tweeted it.
Daaaah!!! Mkuu umenikumbusha mbali sana ulipo mtaja DOSSENA.
ILA UMRMSAHAU Philip Degen,cjui yuko wapi huyu jembe kwa sasa?????
MosDef, i salute u brother!
Mkuu Jaslaws mechi dhidi ya AC Milan inapigwa saa ngapi????????
Mkuu MosDef umeelezea vizuri sana nadhani jamaa atakuwa amejifunza kitu. Ywna!!!