Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Duh ishakuwa noma!!!
mkuu wewe ukifungwa leo ligi ndio inabalance vizuri manake liverpool huyo anaweza kwenda kujikwaa tena weekend hijayo ahaaminiki hata kidogo.vidic huyo jamaa kazidi nae kwa redcard kila siku yeye.
 
hehehe.. tushafunguwa hii mechi ngoja nijiandae kudeal na wapiga kelele sasa.
 
Huyu Vidic kila mechi na Liverpool lazima apewe kadi yeye ebo!!
 
Hahaha Masch naye tushamzoea kwa nyekundu...
 
ha ha ha ha. kweli dakika za nyongeza za timu zote mbili sio kama mark hughes alivyofikiria.
 
Duh!! hongera MTM...nilisema Liverpool wamebakiza mechi mbili msimu huu, mechi ya kwanza tayari bado ya pili.
 
ha ha ha ha. kweli dakika za nyongeza za timu zote mbili sio kama mark hughes alivyofikiria.
Pole zao Man U,

Hahaha, wamejua kuwa kufungwa si kwa mmoja!

Bonge la noma hili, dakika 97 mnaongezewa mrejeshe badala yake mnazidi kuoga magoli teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…