Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kumbe mr. bean nawe pressure ipo juu??? halafu unawananga wenzio??? 😀😀
"Football is not as predictable or scientific as some people think and sometimes people are wrong on what they say".Arsene Wenger a.k.a "The proffesor"
 
kweli kabisa mkuu.ferdinand kumvuta kote kule kwa mkono na jamaa bado kafunga angekuwa striker wakizembe angejiangusha hili apewe penati.

...usiwaogope bana kwakuwa leo Chelsea wapo wengi hapa. Mtaje tu, Drogba!

Will Owen & Nani make a difference?

...Owen, dakika zake ni zile zile 92-97 za mchezo, labda refa awabanie...

Hahaha,

Arsenal leo nao wana kibarua, lolote linaweza kutokea

...tutawabamiza matatu tu!
 
mtm anasubiri mpira uishe tu utamuona.aalafu dakika hizi ndio unakuta mtu anaacha kochi anakaa chini kwenye kapeti.
 
Back
Top Bottom