Invisible
JF Admin
- Feb 26, 2006
- 16,286
- 8,380
Hahaha,Usisahau kwetu, bado kidogo mkuu wangu
Arsenal leo nao wana kibarua, lolote linaweza kutokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha,Usisahau kwetu, bado kidogo mkuu wangu
Ebana Nani kaonesha anaweza!nani can make a difference with his skills.
mkuu usituchokoze tuanze kuongea tafadhali lol.jaribu kufocus kwenye mechi ya sasa hivi ha ha ha.Hahaha,
Arsenal leo nao wana kibarua, lolote linaweza kutokea
mda wa man bado!!! dakika 89!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
mkuu usituchokoze tuanze kuongea tafadhali lol.jaribu kufocus kwenye mechi ya sasa hivi ha ha ha.
Duh ishakuwa noma!!!
"Football is not as predictable or scientific as some people think and sometimes people are wrong on what they say".Arsene Wenger a.k.a "The proffesor"Kumbe mr. bean nawe pressure ipo juu??? halafu unawananga wenzio??? 😀😀
kweli kabisa mkuu.ferdinand kumvuta kote kule kwa mkono na jamaa bado kafunga angekuwa striker wakizembe angejiangusha hili apewe penati.
Will Owen & Nani make a difference?
Hahaha,
Arsenal leo nao wana kibarua, lolote linaweza kutokea
Match kubwa hizi zinaumiza sana kichwa hahahahaha bado dakika kumi tuNini tena kaka mkubwa? Nipo bana leo hapa...
Nini tena kaka mkubwa? Nipo bana leo hapa...
Una matokeo ya Mechi ya jana ambapo Chelsea walifungwa? teh teh teh tehSi huyo Invisible katokea lol, hapatakalika...!!
Match kubwa hizi zinaumiza sana kichwa hahahahaha bado dakika kumi tu
Sure, naona ndo wanasawazisha!Dk bado nyingi sana wanaweza haribu hawa jamaa.
Una matokeo ya Mechi ya jana ambapo Chelsea walifungwa? teh teh teh teh
Goli hilo anafunga NaniDuh; tushalala!
Duh; tushalala!