AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 18
yaani leo Reina hjapata misukosuko kabisa
Mi nimecheka sana hapa, jamaa pamoja na kubanwa katumia nguvu zote kuhakikisha anaweka mpira kimiani. Jamaa yangu akajikuta anatukana tu, nikakiri kweli jamaa na Man U kiukweli!
Ila kusema ukweli Rio Ferdinand keshakuwa MZEE,kazeeka yaani
jumatano na kina carlos vela au nikamlete batista lol....si utaje tu kuwa ni Jumatano na Arsenal!...
Manda. Icadon na Belo wako wapi leo?
Mndundu sema Mkuu wangu......naona leo Kimyaaaaaa
Manda. Icadon na Belo wako wapi leo?
Ila kusema ukweli Rio Ferdinand keshakuwa MZEE,kazeeka yaani
Safi sana wazee leo nilikuwa nanyi msimamo waligi upo vizuri!