Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pre-season match
Liverpool vs Borussia Dortmund. Kick off-(14:15) Saa nane na robo masaa ya kibongo

Thenx mkuu!!!
Osokonoi na Pazi this is a must win game coz tupo Anfield and it means alot to LFC fans.
 
Hivi kwanini suso atolewe tena kwa sehemu ya usajili wa moreno?
 
Pace=kasi
Suso ana kasi nzuri nahisi BR hajamuamini tu!Assad alimpeleka kwa mkopo Stoke City akacheza vyema sana na Suso na Ilori walicheza vyema pia clubs walizo pelekwa!
Nashangaaa sana kwakweli yawezekana hata konte akamtoa
Maana jonjo shevei alisha mudu kikosi cha kwanza lakin kamtoa mido nzur na isio na ghalama
 
Wakuu nisaidieni nkiloging kwenye laptop naambiwa sio sahihi?
 
Kikosi cha game ya Leo
Sijajua kwanini Johnson anaanza, kwanini asiwepo enrique
 

Attachments

  • 1407668583128.jpg
    111.9 KB · Views: 63
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…