Hata kama alikuwa na performance nzuri angalia hizi data kutoka kwenye official Lfc website halafu uniambie kama SG was worth enough to start, kweli Lucas alikuwa na misimu miwili mibaya baada ya kuumia vibaya ila kwa hizi stats Lucas amem-outplay SG in defensive midfield role kwa msimu wa 2013-2014
| Lucas |
| Leiva |
| 21 |
| Central Midfield |
| 1.79m |
| 73 kg |
| 9 Jan 1987 |
| Dourados |
| Brazil |
[TD="class: ProfileList"]First Name
[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Surname
[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Squad Number
[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Position[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Height[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Weight[/TD]
[TD="class: ProfileList"]D.O.B.
[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Town of Birth[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Country of Birth[/TD]
[TD="class: ProfileHistory"][/TD]
[TD="class: ProfileHistory"][/TD]
[h=2]Player Comparison 2013/2014[/h]
|
| Position |
|---|
| Games played |
|---|
| Minutes Played |
|---|
| Starts |
|---|
| Substitution On |
|---|
| Substitution Off |
|---|
[TH="class: player1, colspan: 2"]Lucas Leiva[/TH]
[TH="class: hidden"]Comparison[/TH]
[TH="class: player2, colspan: 2"]Steven Gerrard[/TH]
[TD="class: player1 image"]
[/TD]
[TD="class: player1"]MF[/TD]
[TD="class: player2"]MF[/TD]
[TD="class: player2 image"]
[/TD]
[TD="class: player1"]27[/TD]
[TD="class: player2"]34[/TD]
[TD="class: player1"]1,872[/TD]
[TD="class: player2"]2,900[/TD]
[TD="class: player1"]20[/TD]
[TD="class: player2"]33[/TD]
[TD="class: player1"]7[/TD]
[TD="class: player2"]1[/TD]
[TD="class: player1"]5[/TD]
[TD="class: player2"]6[/TD]
[h=3]General[/h]
|
| Passes |
|---|
| Passing Accuracy |
|---|
| Passing Accuracy opp. Half (%) |
|---|
| Duels Won |
|---|
| Duels lost |
|---|
| Duels won (%) |
|---|
| Aerial duels won |
|---|
| Aerial duels lost |
|---|
| Aerial Duels Won (%) |
|---|
|
[TH="class: player1"]Lucas Leiva[/TH]
[TH="class: hidden"]Comparison[/TH]
[TH="class: player2"]Steven Gerrard[/TH]
[TD="class: player1"]1,425[/TD]
[TD="class: player2"]2,219[/TD]
[TD="class: player1"]90.7%[/TD]
[TD="class: player2"]86%[/TD]
[TD="class: player1"]88.5%[/TD]
[TD="class: player2"]80.2%[/TD]
[TD="class: player1"]163[/TD]
[TD="class: player2"]174[/TD]
[TD="class: player1"]126[/TD]
[TD="class: player2"]119[/TD]
[TD="class: player1"]56.4%[/TD]
[TD="class: player2"]59.4%[/TD]
[TD="class: player1"]58[/TD]
[TD="class: player2"]43[/TD]
[TD="class: player1"]34[/TD]
[TD="class: player2"]43[/TD]
[TD="class: player1"]63%[/TD]
[TD="class: player2"]50%[/TD]
[TD="class: player1"][/TD]
[/QUOTE
...............:.......................::::................
LUCAS LEIVA
DEFENSE
total tackles (won)-4
Tackles won (%)- 50%
Clearlences- 1
Blocks- 0
ATTACK
Goals- 0
Total shots- 0
Minutes per goal- 0
Goals from inside the box-0
DISTRIBUTION
Total passes-39
% of passes long- 0
Passing Accurancy- 85%
Total crosses- 0%
Chances created- 1
Assists-0
STEVEN GERRARD
DEFENSE
Total tackles- 66
Tackles won- 75%
Clearlences- 60
Blocks- 7
ATTACK
Goals- 7
Total shots- 59
Minutes per Goal- 358.1
Shooting Accurancy- 54.2%
DISTRIBUTION.
Passing Accurancy- 86%
Total crosses- 14.7%
Chances created 93
Assists- 9
SG is LIVERPOOL (ukubali, ukatae), The close thing we have kwa SG sahiv ni EMRE CAN..na huwez ukwanzisha CAN moja kwa moja katika DM role katika league kama EPL, ndo maana BR ameanza kumchezesha kiungo cha Pembeni kama box 2 box mid (coz CAN anazunguka uwanja mzima)..na combination ya Can na Hendo itampunguzia kazi SG katka kudefend, na ukizingatia BR anataka Coutinho aingie ndani zaid (kama anavyocheza modric pale RMA), (angalia game yetu na man city, tuliyoshinda bao 3), Ndo maana BR huwa anamfananisha Phill na modric katika interview zake nyingi.
BR alikuwa anacheza attacking football, ambayo ilikuwa inahitaj attacking mids wenye pace na wenye uwezo wa kuforce kuingia na mpira kwenye box, We lacked that last season, na thats why we struggled against Chelsea, crystal palace, Westham, Aston villa and Swansea, (na mpaka kesho Pundits huwa wanamlaum BR kuforce ushindi dhid ya Mourinho pale Anfield huku akijua hama option kwenye wings na Chelsea walikuwa wamepabana katikati, U can see how ATM destroyed chelsea kwa kutumia wings (turan na Lopez)) Liverpool hatukuwa navyo hivyo last season..we had only one option kupita katikati kwa kutumia through passes za Phill na SG..sahiv thats why BR kamnunua Markovic na lallana(lallana anacheza namba zote za mbele na katikati)..Markovic huwa anajaribu kuiga mpira wa Messi, Anapenda kuingia sehem yenye mabek wengi akitokea pembeni..options zitakuwepo kwenye wings, coz RS sahiv anacheza katika free role, anazunguza uwanja mzima, now what we're looking for a Versatile ST ambaye anaweza kwenda sawa na pace za kina phill, RS, LM, AL, ibe na kina suso, ndo maana nasemaga kila siku kuwa BONY hatauweza mfumo wa LFC..
Lucas Leiva was the best Mid katika PL misim miwil iliyopita, (kutoka kufanya tackles more than 75 per season mpaka 4 katika games 27 inaonesha jinsi gani Leiva alivyodrop)
People hating SG coz he slept Against Chelsea, forgeting without his help, tusingekuwepo hata top4 this season (stats zinaonyesha, he was a busy mid kuliko mid yoyote kwenye EPL last season)..
Watu sahiv wanauona ubovu wa Busquet pale Barca kwasababu tu ya beki mbovu ya Barca pale ilivyokuwa last season, Everybody rated GUSTAVO before the WC but defense ya Brazil ilimuangusha na akaonekana hamna kitu kabisa.lakini backline ingekuwa safi usingeona weakness zake.
SG, played with the defense which conceded 50+ last season, But kazi yake kubwa kwenye mid na kina suarez ndo iliifikisha LFC number 2..
people hating coz he slept, Terry slept kwenye penat ya mwisho 2008, dhid ya Man U ambayo iliwacost UEFA title, people walisahau, na he became most complete CB last season.