Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Agger amedondosha machozi akimuomba BR kuondoka LFC kwenda sehemu yeyote atakayopata chance ya first team football,hayo yalitokea wakiwa US ndani ya dressing room,ambapo inasemekana wachezaji wenzie walifanya kazi ya ziada kumliwaza Agger,ambaye alikuwa na emotions sana,ktk mazungumzo hayo na BR ana kwa ana mbele ya wachezaji wote na benchi la ufundi. Hbr hii imeripotiwa na gazeti la The Mirror,siiamini,japokuwa inawezekana kbs ikawa ya kweli kutokana na situation ilivyo sasa,however it is,wherever he'll go,Agger will never walk alone,he'll always be in my heart!

BR ana ego sana!!Agger ni beki bora kuliko wote waliopo Liverpool lkn hampendi bila sababu za msingi!Games alizocheza Agger na mmoja wao ama Skrtel au Sakho alilinda sana clean sheet lkn huyu Skrtel katufungisha mechi nyingi mno kama vile Swansea alitufungisha bao zote 3 lkn yy ndiyo anampenda sana!

Agger is best na akibaki EPL atamtia sana aibu BR
 
Uko sahihi kabisa mkuu ila mpira una mambo mengi sana beyond what we see on the pitch.
Mimi siamini kama BR hampendi Agger ila nafikiri ana mapungufu yake katika tactics zake kama beki.
And we still need him thats why BR hataki kumuuza.
 
Agger amedondosha machozi akimuomba BR kuondoka LFC kwenda sehemu yeyote atakayopata chance ya first team football,hayo yalitokea wakiwa US ndani ya dressing room,ambapo inasemekana wachezaji wenzie walifanya kazi ya ziada kumliwaza Agger,ambaye alikuwa na emotions sana,ktk mazungumzo hayo na BR ana kwa ana mbele ya wachezaji wote na benchi la ufundi. Hbr hii imeripotiwa na gazeti la The Mirror,siiamini,japokuwa inawezekana kbs ikawa ya kweli kutokana na situation ilivyo sasa,however it is,wherever he'll go,Agger will never walk alone,he'll always be in my heart!

Hahahahahahahaha!!!

Darren Lewis wa The Mirror huyo!!!

Trash tupu..
 
Ila tuache mambo ya trash talk au sio trash talk Rogers anaanza Kuwa Egos tena ile ya ki evil wachezaji wengine anavyowafanyia sio vizuri yote kutaka kuonyesha yeye ndio Boss shaurizake Kama hataki mtu amuite ofisini wamalizane atafutiwe timu! Nje ya Rogers nasikia baaazi ya magazeti ya ujerumani yanasema Reus to Arsenal deal linaweza Kuwa soon na pia France kuna Tetesi LFC wapo mazungumzo na Monaco na Falcao.
 
Believe me or Not BR cyo kocha mzuri kabisa na Liverpool fc inatakiwa itafute mwalimu Mwingine maana anasajili wachezaji ambao hawezi kuwatumia.
Look here;
Lius Alberto,Iago Aspas,Thiago Illori,Victor Mosses,Fabio Borini

Sasa kwa usajili wa mwaka huu ndo vituko maana idadi ya mabeki ni kubwa na sielewi anatumia vipi.
Yaani timu ina wafuatao;

Kelly,Flanagan,Skirtel,Johnson,Agger,Lovren,Toure,Coates,Manquillo,Moreno na Enrique.

Wachezaji 10 katika nafasi 4.
Huyu jamaa kimeo sana.
 
Timu nzuri...Bonny yupi mkuu?

...ila tatizo ninaloliona hapo ni leadership...I know Lovren might do something but, he is new to the team na itabidi kujifunza kwanza
 
I am actually happy for the kiddo.

Uamuzi alioufanya ni sahihi, ukiangalia nafasi anayocheza jinsi ilivyo na watu wengi kwa sasa, asingeweza kupenyeza.

Kila la kheri!
 
Naona Conor Coady anaondoka pia...

I am actually happy for the kiddo.

Uamuzi alioufanya ni sahihi, ukiangalia nafasi anayocheza jinsi ilivyo na watu wengi kwa sasa, asingeweza kupenyeza.

Kila la kheri!
 
I am actually happy for the kiddo.

Uamuzi alioufanya ni sahihi, ukiangalia nafasi anayocheza jinsi ilivyo na watu wengi kwa sasa, asingeweza kupenyeza.

Kila la kheri!

3 Of "the next gerrard" wameshaondoka tayari, (jay spearing, jonjo shelvey and now coady)..lets see kitakachotokea kwa "the new Gerrard" aliyebaki ROSSISTER
 
Believe me or Not BR cyo kocha mzuri kabisa na Liverpool fc inatakiwa itafute mwalimu Mwingine maana anasajili wachezaji ambao hawezi kuwatumia.
Look here;
Lius Alberto,Iago Aspas,Thiago Illori,Victor Mosses,Fabio Borini

Sasa kwa usajili wa mwaka huu ndo vituko maana idadi ya mabeki ni kubwa na sielewi anatumia vipi.
Yaani timu ina wafuatao;

Kelly,Flanagan,Skirtel,Johnson,Agger,Lovren,Toure,Coates,Manquillo,Moreno na Enrique.

Wachezaji 10 katika nafasi 4.
Huyu jamaa kimeo sana.

Daaah mkuu umekuwa too harsh kwa BR hivi bila BR now tungekuwa tunazungumzia nini?

Mkuu soka la sasa defense nzuri zaid kuliko better striker, msimu uliopita tume-score more goal na tumefungwa more goal inaonesha kiasi kikubwa timu haiku-balance ndo maana nahisi ni sahihi kwa anachofanya BR
Me siamini kama striker wet watashindwa kufunga magoli its better kwa percent zote kushinda 1-0 than 6-4

Let us still believe in him tukumbuke now tupo uefa pia
 
Hahahahahahah!!!!!

Bwana Assaidi naye anajiona Ronaldinho!!

Asa we, nani akupe 50k kwa week pale stoke city???..we ukilipwa 50k, bojan alyetoka Barcelona alipwe sh.ngap???

Anatucheleweshea tu hiyo £7m bhana..
 
Ila tuache mambo ya trash talk au sio trash talk Rogers anaanza Kuwa Egos tena ile ya ki evil wachezaji wengine anavyowafanyia sio vizuri yote kutaka kuonyesha yeye ndio Boss shaurizake Kama hataki mtu amuite ofisini wamalizane atafutiwe timu! Nje ya Rogers nasikia baaazi ya magazeti ya ujerumani yanasema Reus to Arsenal deal linaweza Kuwa soon na pia France kuna Tetesi LFC wapo mazungumzo na Monaco na Falcao.

Kila manager kwenye timu yake lazima awe ego ili ku-control timu vizur kuna muda usipowaoneaha wachezaji who's the boss timu itakushinda
Let us see what he plan for this season
 
Daaah mkuu umekuwa too harsh kwa BR hivi bila BR now tungekuwa tunazungumzia nini?

Mkuu soka la sasa defense nzuri zaid kuliko better striker, msimu uliopita tume-score more goal na tumefungwa more goal inaonesha kiasi kikubwa timu haiku-balance ndo maana nahisi ni sahihi kwa anachofanya BR
Me siamini kama striker wet watashindwa kufunga magoli its better kwa percent zote kushinda 1-0 than 6-4

Let us still believe in him tukumbuke now tupo uefa pia

Mkuu cyo kwamba spend BR anavyosajili wachezaji,tatizo na pale anaposajili wachezaji ambao anashindwa kuwatumia!!!

Wachezaji waliosababisha LFC ifungwe magoli mengi ni Glenn Johnson,Steven Gerrad na Skirtel ambao still wapo Liverpool na bado wataendelea kuwepo kwenye first Eleven ya msimu ujao.

Ebu niambie Luis Alberto toka amesajiliwa ametumika vipi mpaka leo hii?????? The same applied to Iago Aspas pamoja Thiago Illori.

Sasa mkuu ebu niambie Hao wachezaji 10 kwenye nafasi ya Ulinzi una watumiaje??????
Umeyaona mapungufu ya Mignolet???? Back up yake iko wapi??? Huwezi ukategemea Brad Jones akusaidie kitu wakati hana hadhi hata ya kuwa third choice.
 
Believe me or Not BR cyo kocha mzuri kabisa na Liverpool fc inatakiwa itafute mwalimu Mwingine maana anasajili wachezaji ambao hawezi kuwatumia.
Look here;
Lius Alberto,Iago Aspas,Thiago Illori,Victor Mosses,Fabio Borini

Sasa kwa usajili wa mwaka huu ndo vituko maana idadi ya mabeki ni kubwa na sielewi anatumia vipi.
Yaani timu ina wafuatao;

Kelly,Flanagan,Skirtel,Johnson,Agger,Lovren,Toure,Coates,Manquillo,Moreno na Enrique.

Wachezaji 10 katika nafasi 4.
Huyu jamaa kimeo sana.

Hapo kwenye defense namtetea..

Last season, defensive errors nyingi ndo zilisababisha tukose title..and umeona kiwango duni cha GJ msimu uliopita na hata kwenye hizi pre-season..

Enrique katoka Majeruhi (msimu uliopita karibia wote alikuwa nje)..hayupo fit bado, na umeweza kumuona kwenye hizi pre-season.

We needed fullbacks na CB mmoja mwingine..and who knows labda agger anaweza kuondoka, so lazima tubaki na coates na Toure as backups..this year we have PL, UCL, FA, Capital One...we need a squad depth, yaan kila namba inakuwa na watu wawili...

It can be like "flanagan skritel lovren moreno" OR "manquillo sakho coates Enrique"

"Gerrard Can Henderson" OR Lucas Allen Lallana"

"coutinho sterling/markovic Sturridge" OR "Suso ibe lambert/pierterson"

Hapo assume bado hatujanunua an established ST.
 
I catch point yako mkuu Amanijua kweli pre season sijaangalia game naona tu watu humu wanavyolalamika kuhusu mignolet kuhusu kipa nilishawahi uliza humu nikaambiwa we on process sababu without another back up itakuwa vigumu

Glen namba atakosa tu tusubiri tuone kabla dirisha halijafungwa

Hizo nafasi za ulinzi tukumbuke kuna injury prone mkuu
 
Last edited by a moderator:
Liverpool mbona wanaachia watoto sana sahiv, Brad smith nae kaondoka kwa mkopo!!!!
 
Back
Top Bottom