Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sina comment kwa SG,nikikumbuka alipotoka na timu,huwa namsamehe makosa yake papohapo.

Wakati akina Owen wanatukimbia yy SG ndiyo hot mido duniani miaka ya 2004 ana umri wa miaka 23 kipindi hicho alikataa kuondoka kwa dau kubwa sana toka kwa Chelsea na baadae Madrid!

Kikubwa zaidi SG bado mpira anaujua
 
Believe me SG will be our pillar again!SG bado uwezo anao hasa kama tutapata striker mwingine wa kutunza mipira!

YEsa pillar which slips at the most crucial times.... :A S-eek::A S-eek::A S-eek:
 
Wakati akina Owen wanatukimbia yy SG ndiyo hot mido duniani miaka ya 2004 ana umri wa miaka 23 kipindi hicho alikataa kuondoka kwa dau kubwa sana toka kwa Chelsea na baadae Madrid!

Kikubwa zaidi SG bado mpira anaujua
I think tusimtegemee Stevie kama pillar uwanjani, tumtegemee Stevie kama leader and a youth mentor.... kisoka ameshachuja

BR ana Kolo, Stevie na sasa anamhitaji Xabi kuwepo ili wale watoto wacheze soka... bado wadogo na unaona wakikwama moves three times, wanapanic na kuwa very erratic
 
Full Moon, nimependa the way ulivyopresent aisee,ipo very logical,ila,kwangu mimi dogo Flanno,yupo poa sana kuliko huyo Javier ambaye Ligi ya uingereza huwa anaiangalia kwenye tv kama sisi i.e hana experience nayo. Halafu hao wote,Sakho na Lovren nadhani ni LCB,hawawezi kucheza pamoja,ungemjumuisha Skirtel pale.
Ahsante

Flanno ni mzuri, dogo mkabaji hata yeye akianza mimi ntakuwa sina shida nayo, ni Johnson ndo simtaki..mvivu sana jamaa yule.

Ubaya wa Sktrel ni kwamba hayupo settled, anafanya fundamental defensive mistakes sana. Unaona Sakho alivyokuwa mzuri wakati akiwa na Ufaransa? Kati ya Sakho na Lovren sawa nadhani Lovren mzuri zaidi lakini nadhani wanaweza cheza pamoja.
 
Mkuu kikosi kizuri lkn SG bado tunamuhitaji na kutoka kwake jana mapema kuliiumiza team!

Tunahitaji striker wa maana sasa kwani Moreno kaja tayari then BR alete kipa pia wa ukweli kushindana na Migs!

Goli la 1 jana la Rooney kafungwa kizembe sana!Skrtel anakimbizana na Rooney kwenye flank ya kulia ww kipa unakaa tena kulia badala ya kuziba kushoto?

Migs hana mpinzani na kabweteka

Steven Gerrad bado mzuri mzuri sema nadhani muda umefika aanze kutochezeshwa mara nyingi nyingi. Nadhani Emre Can anaweza fanya ile shughuli vizuri tu..umemuona akicheza?
 
Steven Gerrad bado mzuri mzuri sema nadhani muda umefika aanze kutochezeshwa mara nyingi nyingi. Nadhani Emre Can anaweza fanya ile shughuli vizuri tu..umemuona akicheza?

Emre is Super talent! Namkubali sana dogo,after two years atakuwa CM wa ukweli zaidi
 
We've signed javier manquillo
 

Attachments

  • 1407327346929.jpg
    1407327346929.jpg
    144.9 KB · Views: 75
manquillo ndio kashatuwa nasikia Rogers Kasema anatizama wachezaji wa 3 kwa umakini sijui nani hao watakuwa muda upo mpaka dirisha la Usajili kufungwa na pia Origi Kasema ameshangaa kuona Liverpoolfc wanamuonyesha tape za alivyokuwa akicheza Ana umri wa miaka 15 hakutegemea jamaa walikuwa wakimfuatilia namna Hiyo.
 
Kweli mkuu! Halafu deal la Javier Manquilo is done kakwea pipa to anfield kwa ajil ya medical. Naona dogo ataleta upinzani kwa flano na Gj kama atamantain kiwango.

Welcome at Anfield Javier Manquilo.
 

Attachments

  • J.jpg
    J.jpg
    24.9 KB · Views: 70
  • J2.gif
    J2.gif
    15.1 KB · Views: 168
MY LFC FIRST ELEVEN NI;
1.Mignolet
2.Flagan
3.Enrique
4.Lovren
5.Agger
6.Can
7.Lalana
8.Henderson
9.Coutinho
10.Sturidge
11.Bonny.
 
Agger amedondosha machozi akimuomba BR kuondoka LFC kwenda sehemu yeyote atakayopata chance ya first team football,hayo yalitokea wakiwa US ndani ya dressing room,ambapo inasemekana wachezaji wenzie walifanya kazi ya ziada kumliwaza Agger,ambaye alikuwa na emotions sana,ktk mazungumzo hayo na BR ana kwa ana mbele ya wachezaji wote na benchi la ufundi. Hbr hii imeripotiwa na gazeti la The Mirror,siiamini,japokuwa inawezekana kbs ikawa ya kweli kutokana na situation ilivyo sasa,however it is,wherever he'll go,Agger will never walk alone,he'll always be in my heart!
 
Back
Top Bottom