Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa wadau kuna habari zimeibuka sasa hivi kwamba LFC wameamua kuachana na ishu ya Moreno na sasa BR anaona ni vema kumsajili ROJO.
 
Sasa wadau kuna habari zimeibuka sasa hivi kwamba LFC wameamua kuachana na ishu ya Moreno na sasa BR anaona ni vema kumsajili ROJO.

Timu zinaringa na wachezaji wao nashangaa yy anawapuuza makinda amuache robinson na enrick hiyo nafac watasaidiwa na jonson
 
Issue sio kum-replace Suarez lakini kwenye ubahili nakubali BR kazidi, aliona kapga dili kumleta lambert kwa m4 kumbe kalamba galasa. Asa iv anataka kuleta galasa jingine si bora alichukue toto tundu li balotell lipo sokoni kwa m14 angalau linaweza kutusaidia kupgania tittle licha ya madhaifu ya kitabia lilonayo.
 
Yaah toto tundu angekuwa chagua bora. Ila mkuu jitihada na kilio chote hiki ni kwa ajili ya kureplace pengo la suarez, labda tu sio perfect replacement ila jitihada zote hizi ni kuziba pengo lake.
 
Kama binaadam anamapungufu yake etoo sio wakumtegemea tena akupe ubingwa.

Nimeshagundua BR anaugonjwa mbaya wa kuamini katika surprise, labda anaamini kati ya lambert na Etoo mmojawapo atakuja kufanya bonge la surprise ngoja nasi tusubiri surprise za bwana BR.
 
Yaah toto tundu angekuwa chagua bora. Ila mkuu jitihada na kilio chote hiki ni kwa ajili ya kureplace pengo la suarez, labda tu sio perfect replacement ila jitihada zote hizi ni kuziba pengo lake.

Ni kweli mkuu lakini hata kama tukipata anayefikia angalau nusu ya kiwango cha suarez sio mbaya coz bado tunastriker mkali mnyama sturridge.
 
Ni kweli mkuu lakini hata kama tukipata anayefikia angalau nusu ya kiwango cha suarez sio mbaya coz bado tunastriker mkali mnyama sturridge.
Yaah ni kweli mkuu, inashangaza hata pundits wa UK wanaona kama kuondoka kwa suarez basi ndo LFC hatupo kwenye ramani hata ya top four! Sturridge asipopata injuries za mara kwa mara atawashangaza wengi. He is a good striker on air, movement, pace, positioning, accuracy etc! Tuombe tu majeraha yamuepuke
 
Habari njema kwa wanakops
 
Attachments

  • 1407866272563.jpg
    58 KB · Views: 83
Akija watakuwa wametutendea haki ngoja tusubiri official report

Hii habari ni kweli naona first XI ya sevilla hapa hayupo.naona ameset to complete a switch to LFC. Martin Kelly naye anaelekea crystal palace kwa ada inayoKadiliwa kua ni £ 2mill.jembe lingine linaondoka.
 
WE HAVE SIGNED ALBERTO MORENO GUYSSSS..

FEE: £12m

What a great move for Ayre!!!

HAHAHAHAHAHAHAHAHA

#HappyDays
 
BBC Football wamesema 12m tena bila ad on safi sana Seville walihitaji pesa walitaka tu kujifanya jeuri hehehe ndomana game na Real Madrid simuoni kuchungulia naona deal on bora tume save pesa.
 
Wellcome to lfc moreno
 
Attachments

  • 1407871050423.jpg
    38.7 KB · Views: 75
safi sana. moreno ndani sasa. bado striker wa maana sio habar za eto'o(sa hv yy anajali tu pesa)
 
Haters be like!!!!!
 
Attachments

  • 1407871434983.jpg
    17.4 KB · Views: 86
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…