Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nyuma kumeenea.
Moreno, Manquillo, Skrtel na Lovren
Ila huyu Mignolet mmmmnnhhhh, heri tungempata Ochoa

Mi nadhani tungembakiza zaidi Reina ndio ingekuwa vizuri. Ila inaonekana BR alikuwa hamkubali Reina kama ilivyo kwa Agger.
 
What has Ian Ayre been smoking, he's learned how to sign players. (Kuna mtu kapost kwenye page ya LFC)
 
Wadau huu uzi wetu naona unasogea kwa kasi ya kimbunga! Wakati mimi nakuja kujitambulisha humu miaka mitatu iliyopita,tulikuwa na posts kama 3000 plus hivi,naona saivi tupo kwenye 10000 plus! Tuendelee kujadidiliana kuhusu LFC....but natamani sana uzi huu ungekuwa under control ya LFC fan,tungeupendezesha sana hapo juu...huyu Mbu mtu wa Asenali anazingua sana,hivi hatuwezi kuwasiliana na Mods wahamishe umiliki? MosDef Janjaweed The Boss Malafyale Tores Mzee Wa Rubisi na Kopites wote humu,tufanyeje kupata umiliki kamili wa hii thread kutoka kwa Mbu ? Ili tuweze kuiupdate?
 
Last edited by a moderator:

nadhani ni kuongea na mods tu..
 
Last edited by a moderator:
For sure Mignolet simpendi.. ila game ya juzi ameimprove sana vocal na anapanga mabeki...

Tumpe muda na Lovren ni Calleger type of player...

Mignolet ni kipa mzuri sana mkuu!!!
Hivi mnasahau jinsi alivyofanya vizuri last season since the game against Stoke City?????

Usimhukumu kwa kufanya makosa katika mechi mbili tatu mkuu.
Makipa wote wazuri huwa wanafanya makosa just like he did.
 
Natamani kumuona GJ anakaa benchi,na anaingia dakika ya 88 tukiwa tunaongoza nne bila hivi...

Flanno bado majeruhi, Moreno bado hata medical, and hajacheza na team katka pre-season, Enrique bado hajawa fit toka atoke kwenye majeruhi ya muda mrefu..

So BR lazima atamchezesha GJ namba 3 na Manquillo namba 2..katika game ya Southampton J2.
 
At least sasa tuna depth...mwaka jana alipopewa red card Hendo mambo yakaharibika kabisa...saivi pale anaweza cheza Lallana,Can...sterling asipokuwepo,yupo Markovic,Lallana pia pale no.10 yupo Coutinho na Suso,Lovren asipokuwepo yupo Agger,Sakho,kule RB yupo GJ,Manguillo,na Flanagan,huku LB yupo Enrique,Moreno hata Flanagan,Skirtel na Seba pale RCB,Gerald,Lucas na Can pale mido,kwa sasa shida ni Striker tu,yupo striker mmoja tu kwa sasa,Stareji...wale kina Lambert,Fabio...hakuna kitu pale.
 
Wadau huu uzi wetu naona unasogea kwa kasi ya kimbunga! Wakati mimi nakuja kujitambulisha humu miaka mitatu iliyopita,tulikuwa na posts kama 3000 plus hivi,naona saivi tupo kwenye 10000 plus! Tuendelee kujadidiliana kuhusu LFC....but natamani sana uzi huu ungekuwa under control ya LFC fan,tungeupendezesha sana hapo juu...huyu Mbu mtu wa Asenali anazingua sana,hivi hatuwezi kuwasiliana na Mods wahamishe umiliki? MosDef Janjaweed The Boss Malafyale Tores Mzee Wa Rubisi na Kopites wote humu,tufanyeje kupata umiliki kamili wa hii thread kutoka kwa Mbu ? Ili tuweze kuiupdate?

Mm mwenyewe nashangaa sana why Mbu asiye KOPS awe anatuunganisha hapa?Tujisimamie mwenyewe na Mbu aendelee na Arsenal yake
 
Last edited by a moderator:
For sure Mignolet simpendi.. ila game ya juzi ameimprove sana vocal na anapanga mabeki...

Tumpe muda na Lovren ni Calleger type of player...

Ni kweli Mignolet kaimarika sana nadhani atafanya vema msimu huu, kikosi kipo poa sana hadi sasa tunachoihtaji ni back-up ya sturidge na mignolet. Ila uzuri huwa ni nadra sana kwa kipa kuumia au kuchoka so BR aelekeze nguvu muda huu kutuletea striker wa maana.
 
Wadau huu uzi wetu naona unasogea kwa kasi ya kimbunga! Wakati mimi nakuja kujitambulisha humu miaka mitatu iliyopita,tulikuwa na posts kama 3000 plus hivi,naona saivi tupo kwenye 10000 plus! Tuendelee kujadidiliana kuhusu LFC....but natamani sana uzi huu ungekuwa under control ya LFC fan,tungeupendezesha sana hapo juu...huyu Mbu mtu wa Asenali anazingua sana,hivi hatuwezi kuwasiliana na Mods wahamishe umiliki? MosDef Janjaweed The Boss Malafyale Tores Mzee Wa Rubisi na Kopites wote humu,tufanyeje kupata umiliki kamili wa hii thread kutoka kwa Mbu ? Ili tuweze kuiupdate?

.......hahahaha! tena nyie mna bahati kweli Mbu aliuanzisha uzi huu na kuusogeza miaka hiyo mitattu iliyopita, wapenzi wa Liverpool walikupo lakini hata hamu ya kuishabikia team yao hawakuwa nayo!....Kwa kumbukumbu tu, humu JF kulikuwa na thread mpaka za REAL MADRID, BARCELONA, AC MILAN ya kina Gang Chomba na Abdulhalim, na TOTTENHAM HOTSPURS ya Shedafa....
Komaeni hivyo hivyo na tai zenu shingoni thread isife kibudu hii...(ingawa msimu huu ndio mnarudia tena ile nafasi yenu ya 7th)

Mie nishatuma sana pm kwa ma-moderator lakini hakuna walichofanya, solution kama kuna kitu cha kuongeza ni kumbembeleza Mbu atukopie.

......sasa niwakopie wapi na wewe, hahahah?! hebu tulieni bana,....wanzilishi wa Arsenal Thread, na Manchester United thread umewahi kuwaona waki post JF? Wametoweka tangu miaka hiyo na sie hatulalamiki....

Komaeni tu kama kina BAK, Wacha1, Nzi, Belo, Ntuzu, Peasant, Mentor, ndetichia, Pazi, Balantanda, Sizinga, Wandugu Masanja, mfarisayo, Mndengereko, RRONDO, et al ambao hata wakipewa za uso baada ya siku mbili wanarudia ku post kwenye thread zao!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom